Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Yaani nimefikia kwenye kuweka details za form 4 nikitaka kusevu inanambia "APPLICANT DETAILS NOT FOUND" yaani kila nikijaribu inakwama tu hainiruhusu kuweka cha form 6. Hii system yao shida kweli jamani
Endelea kujaribu..mchana saa 8 mtandao ulikuja ukafanya kazi dk 8 hazikuzidi, ukatokomea hadi sasa haujarudi..wakafanikiwa wawili tu..
Kwahy usicheze mbali
 
Mikoa inazidi kupotea tuu..tatizo nn
Inapotea nakurudi, kuna kijana nimemuombea kipindi naangalia mikoa baadhi haikuwepo, Ila nikarudi kuangalia jioni nikaikuta, nafikiri wanakuwa wanatoa baadhi yamikoa nakuweka mingine.Ili kila mkoa upate waombaji.
 
Hivi jamani kwenye personal information kipengele cha name kinajazwa nini? Nikijaza jina linagoma..nikiweka namba ya form 4 inagoma. Msaada tafadhali
 
Kama huku mjini shughuli ni pevu hivi..vipi huko shamba?? Mungu saidia
 
Back
Top Bottom