The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #341
Mikoa inazidi kupotea tuu..tatizo nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujaribu..mchana saa 8 mtandao ulikuja ukafanya kazi dk 8 hazikuzidi, ukatokomea hadi sasa haujarudi..wakafanikiwa wawili tu..Yaani nimefikia kwenye kuweka details za form 4 nikitaka kusevu inanambia "APPLICANT DETAILS NOT FOUND" yaani kila nikijaribu inakwama tu hainiruhusu kuweka cha form 6. Hii system yao shida kweli jamani
Hapo tatizo ni nini ?Endelea kujaribu..mchana saa 8 mtandao ulikuja ukafanya kazi dk 8 hazikuzidi, ukatokomea hadi sasa haujarudi..wakafanikiwa wawili tu..
Kwahy usicheze mbali
NetworkHapo tatizo ni nini ?
Mkuu inaposema applicant number already exist ina maana gani ?Network
Namba ya mwombaji tayari ina usajili.Mkuu inaposema applicant number already exist ina maana gani ?
Namba ipi wanayo refer ?Namba ya mwombaji tayari ina usajili.
Namba wanayokula nayo sahani moja ni ya form 4Namba ipi wanayo refer ?
Inapotea nakurudi, kuna kijana nimemuombea kipindi naangalia mikoa baadhi haikuwepo, Ila nikarudi kuangalia jioni nikaikuta, nafikiri wanakuwa wanatoa baadhi yamikoa nakuweka mingine.Ili kila mkoa upate waombaji.Mikoa inazidi kupotea tuu..tatizo nn
Ongeza shule moja zifike sita itakuwa tayari,naona kama ziko tano hapoAsanteni wakuu nimefanikiwa na nimepoke masage hii ila pia baada ya kusubmit nikitaka kuclose napokea massage ina onyesha incomplete applicationView attachment 1566636
Ukisema wew kuna shida gani?kuna kijana nimemuombea
Yaani huku mbali sana.. nazungumzia mwanzo kabisa kutengeneza account. Nataka niachane na account ya mwaka jana ambayo inazinguaKinasomekaje?.Angalia sample hapa yamtu niliemuombea
View attachment 1566790
Sio Mimi mkuu, na ningekuwa mimi nisingehofu kusema,Mimi nimejiajiri na napambana kukuza ofisi yangu.Ukisema wew kuna shida gani?
Ualimu ni kaz ya maana sana tu.
Sio Mimi mkuu, na ningekuwa mimi nisingehofu kusema,Mimi nimejiajiri na napambana kukuza ofisi yangu.Na nawaheshimu sana walimu maana ndio wamesababisha kufika hapa nilipo, hata Mama yangu alikua Mwalimu wa shule ya msingi.Ukisema wew kuna shida gani?
Ualimu ni kaz ya maana sana tu.
Ukiona hivyo ujue nafasi zimeishaMikoa inazidi kupotea tuu..tatizo nn
Kuna room ya ku edit hizo taarifa ?Kinasomekaje?.Angalia sample hapa yamtu niliemuombea
View attachment 1566790
Ndio.Kuna room ya ku edit hizo taarifa ?
Mkuu na unapojaza personal particular halafu uki click next ikakwambia application process failed then ikaku direct kwa page ya taarifa ya elimu ya sekondari, maana yake ni nini ?Ukisema wew kuna shida gani?
Ualimu ni kaz ya maana sana tu.