CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
- Thread starter
-
- #101
Ndio umeandika nini hapa?
HUJUI KITU,
KAA KIMYA.
CHAMA NI WINGA?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatima ya Simba kwenda champs au shirikisho iko Kwa Ihefu/Black Stars kesho kutwa.Che Malone amechoka,Ngoma ndio hata mzuka hana,Saido hoi mwili unataka akili imechoka wkt watu wengine wapo wakuanza,in nutshell Simba iombe ipate nafasi ya 2 ili iende champions league then wasuke kikosi otherwise nawaona shirikisho.
Kocha anatakiwa kuwapa vijana wengine nafasi wenye uchu km KażI,Chasambi yule mzanzibar wanaotakiwa kuanza ni Chama,Hussein,Kibu and Che Malone wengine wote waanze bench