Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia

Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia

Ngoja nikupe Darasa la bure kidogo.

Tuna version karibu Tano za Mawinga.

1. Mshambuliaji KUTOKEA pembeni.
Mfano KIBU Denis, KENEDY Musonda nk

2. Wing Back.
SHOMARI kapombe, Yao, DJUMA SHABAN kelvin Kijiru nk

3. Kiungo WA Pembeni.
Chama Saido, Bwalya na Sackho
Wakiwa wanatokea pembe 7 /11.

4. Winga (pure wing)
Winga ya KIZAMANI 11,7
Banda, okra, oubin kramo, moroko, kisinda nk
Ndio umeandika nini hapa?
HUJUI KITU,
KAA KIMYA.
CHAMA NI WINGA?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja nikupe Darasa la bure kidogo.

Tuna version karibu Tano za Mawinga.

1. Mshambuliaji KUTOKEA pembeni.
Mfano KIBU Denis, KENEDY Musonda nk

2. Wing Back.
SHOMARI kapombe, Yao, DJUMA SHABAN kelvin Kijiru nk

3. Kiungo WA Pembeni.
Chama Saido, Bwalya na Sackho
Wakiwa wanatokea pembe 7 /11.

4. Winga (pure wing)
Winga ya KIZAMANI 11,7
Banda, okra, oubin kramo, moroko, kisinda nk
Umemjibu poa na kwa kutuliza akili.
Safi bro
 
Ndio umeandika nini hapa?
HUJUI KITU,
KAA KIMYA.
CHAMA NI WINGA?[emoji23][emoji23][emoji23]

UTABAKI na UJINGA WAKO.

Tunakwambia Akicheza namba 11 Robertinho anamtumia kama Free role au ANACHEZA kama Kiungo wa Pembeni huelewi..

Na si Robertinho tu Hata Patric Ausems alimtumia Chama kama 11.

7 Okwi.
8. Kotei.
9. Kagere.
10. Boko.
11. Chama.

MAKOCHA waliofuata Sven na Gomes ndio walikuwa wanatumia mshambuliaji mmoja MUGALU.
Chama AKAWA ANACHEZA No 10

Tangu amekuja Saido ndio ANACHEZA No 10
Chama ANATOKEA pembeni 11.

Bado unabisha Sijui Unabisha kitu Gani au unataka KUFURAHISHA Jukwaa.

Pole sana Kwa wazazi waliokuzaa na maziwa oluliyo nyonya mtoto MJINGA Kiasi hicho.
 
UTABAKI na UJINGA WAKO.

Tunakwambia Akicheza namba 11 Robertinho anamtumia kama Free role au ANACHEZA kama Kiungo wa Pembeni huelewi..

Na si Robertinho tu Hata Patric Ausems alimtumia Chama kama 11.

7 Okwi.
8. Kotei.
9. Kagere.
10. Boko.
11. Chama.

MAKOCHA waliofuata Sven na Gomes ndio walikuwa wanatumia mshambuliaji mmoja MUGALU.
Chama AKAWA ANACHEZA No 10

Tangu amekuja Saido ndio ANACHEZA No 10
Chama ANATOKEA pembeni 11.

Bado unabisha Sijui Unabisha kitu Gani au unataka KUFURAHISHA Jukwaa.

Pole sana Kwa wazazi waliokuzaa na maziwa oluliyo nyonya mtoto MJINGA Kiasi hicho.
CAPO ulishambuliwa Sana na Wanasimba wenzio. Lakini kuanzia Leo watajua Ukuta wa Yeriko siyo ngome sahihi ya kuzuia mashambulizi.
 
Dah mkuu
Hili la kakolanya 👍🏽
Hili la mabeki wa pembeni👍🏽
Hili la kiungo👍🏽

Dah ulisema aisee
 
Hellow Wana JF.

Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023.

Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na MSOMI WA UKOCHA.

MAMBO AMBAYO NILIPENDEKEZA KWA UONGOZI NA BENCHI LA UFUNDI WAYAFANYIE KAZI NA HAWAJAYAFANYIA KAZI.

1: Kuwabakisha Kakolanya na Onyango.

2: Niliwashauri Simba Wasajili beki kama Yao Yao Beki wa kuwachallange Kapombe na Shabalala pande zote mbili.
Beki anayecheza kulia na kushoto.

3: Nilishauri kuwa na Mabeki 3 wa KIMATAIFA WA kati.
🧧Inonga.
🧧Malone
🧧Onyango

5 : Kusajili Viungo wawili 6,8.
Nilipendekeza Simba ISAJILI kati ya Bangala au efoe Novon kwenye eneo la Kiungo mkabaji CDM 6...

Pia nilipendekeza Simba Kusajili kiungo No 8.
Kiungo kariba ya Aucho Akicheza 8
Kiongozi mpambanaji BOX TO BOX

6: pia nilipendekeza WASAJILI mshambuliaji mmoja mrefu 9 mwenye uwezo Mkubwa WA kumchallange Baleke.


MSIMU WA USAJILI NIKASHANGAZWA SANA NA USAJILI UNAOFANYIKA SIMBA.
USAJILI WOTE HAUENDANI NA FALSAFA UYA SIMBA LUNYASI.

.
UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA HAWA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
Zaidi ya mawinga 7

Mawinga. 2023
( 1. Peter Banda.)
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
8. Luis Miquesson.

HAPA wenye uhakika ni 3 tu
7.Kibu
10.saido
11. Chama.

Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.

1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
.
UNAJIULIZA HUU USAJILI UNAFANYWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KWELI

Alex FERGASON ALIPATA kuwahi kusema
Safi Bora ya Ushambuliaji itakupa MAGOLi safu Bora ya ulinzi itakupa Mataji.

SIMBA WAMEPUUZA MAONI YANGU
MASHABIKI NA WANACHAMA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.
KIUFUNDI SIMBA IPO HOVYO SANA. ILIAMUA KUSAJILI MAJINA NA SI WACHEZAJI.


SIKUONA SABABU ZOZOTE ZA MAANA ZA KUSAJILI.
1. GOLIKIPA AYOUB.
2. ESSOMBA ONANA
3. LUIS MIQUISSONE.
4. AUBIN KRAMO.
5. MOSES PHILI.
6. SADIO KANUTE.
7. SAIDO NTIBAZONKIZA

Maeneo nyeti niliyowashauri WAYAFANYIE KAZI hawajayafanyia kazi.

N:B.
Simba Ina zaidi ya MICHEZO 60 MSIMU
🧧LIGI KUU MICHEZO 30.
🧧AZAM FEDERATION 6
🧧MPINDUZI +NGAO 6
🧧MECHI ZA KIRAFIKI. 6
🧧CAF CL. 6
🧧SUPER LEAGUE. 6.

MATOKEO yake.
🧧Inonga na Malone WANATAKIWA wacheze MICHEZO yote 60
Bila ADHABU Wala Majeraha.
🧧. Kapombe na shabala WANATAKIWA wacheze MICHEZO 60.
🧧Mzamiru Mgoma na kanute MICHEZO 60

NB: ANGALIZO:
NAOMBA UZI WANGU UCHANGIWE NA WATU WENYE UWEZO MPANA KIMAWAZO NA KIFIKRA NA SI VILAZA NA WAJINGA.
NGUVU moya
ACHA ITUUE.
Kusikia kwa Kenge, mpaka damu zimtoke masikioni.
 
Weka hapa link ni wapi umependekeza Yao kusajiliwa na Simba. Hakuna aliyemjua Yao zaidi ya jicho la kamati ya usajili wa Yanga. Na hata baada ya Yanga kumtangaza Yao watu wa Simba mkaponda na kuonesha goli alilofunga Sakho huku Yao akiwepo. Na mlimwita garasa. Leo kaja Yanga kila mmoja anajifanya ana jicho kama walilokuwa kamati ya usajili wa Yanga.
Inaonekana IQ yako ipo very low kijana.
 
TBT
 

Attachments

  • downloadfile-76.jpg
    downloadfile-76.jpg
    98.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom