CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
- Thread starter
- #21
Weka hapa link ni wapi umependekeza Yao kusajiliwa na Simba. Hakuna aliyemjua Yao zaidi ya jicho la kamati ya usajili wa Yanga. Na hata baada ya Yanga kumtangaza Yao watu wa Simba mkaponda na kuonesha goli alilofunga Sakho huku Yao akiwepo. Na mlimwita garasa. Leo kaja Yanga kila mmoja anajifanya ana jicho kama walilokuwa kamati ya usajili wa Yanga.
Sawa INAWEZEKANA Mwenzangu umejiandaa kushindana zaidi na
Kubisha.
Ngoja nikuscreenshot utaiona.