Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia

Yani katika andiko lako lote hujagusia kutemwa Kwa John bocco? Hili andiko lako ni batili

Ningeweza kuandika yote lakini nafasi na Muda.

Ukimaliza utaonekana kuwa na CHUKI na WATU.

Imagine UNAMUACHA AUCHO UNAENDA Kusajili Kanute.

Dirisha Dogo wachezaji wa kuwaacha.
Kanute, phili, Miquesson, Kramo, Kapama, AYOUB, nk
 
Una point kuna baadhi ya mambo tunakubaliana kuna baadhi ya mambo tunatofautiana.
1.Mosi, kakolanya si aina ya kipa wa kukaa Simba, ana makosa mengi mno, mda wote roho mkononi.
2.Onyango angeweeza kubaki kama tu angekuwa muungwana, lakini Sivyo.
Yeye akilambwa Benchi mechi kadhaa anaomba kuondoka.
3. Sadio kanoute still ni mchezaji wa kucheza Simba, japo huwa anakuwa na moment mbaya ( Ana ubora wake na Udhaifu pia as a player).

Nnapokubaliana na wewe
Tulihitaji CDM na wala sio huyo Ngoma waliyemleta.
Tulihitaji mchezaji mwenye kariba ya Ntiba ila awe kijana.
Tulihitaji forwad ya maana.
Tulihitaji backup ya Zimbwe.
Ukiona mechi ya Simba na Mtibwa utagundua Zimbwe ameshaanza kuchoka.

Ashukuru Mungu pia mwaka huu Mechi za Taifa stars zimemuepuka.
 
Nimeomba Uzi wangu ujibiwe na kuchangiwa na Great thinkers WATU WENYE AKILI TIMAMU.

Sipendezwi na majibu ya wapumbavu WAJINGA na Mafwala.
Wewe mwenyewe unatoa post za kimbumbumbu kumuinclude Chama,Saido,Bwalya n.k kama mawinga inaonesha dhahiri ulivyokuwa huna uelewa mpana katika soka[emoji23][emoji23]
Ina maana kwa mfano ukianza kuichambua Singida FG kwa jana pia unaweza ukaanza kuporomosha lawama kwanini wasajili viungo wengi Gadiel Michael,Kagoma,Andambwile,Gomez n.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani asiyejua kama Gadiel ni namba 3 asilia?lakini jana kacheza namba 6 kutokana na mahitaji ya mechi kwa kadiri kocha alivyoona inafaa katika kufikia malengo aliyojiwekea kupitia mifumo yake,
Mpira/soka sasa limebadilika mchezaji anapaswa acheze zaidi ya nafasi moja uwanjani,unaweza ukasajiliwa kama beki wa kati ila kuna baadhi ya mechi kocha akakupanga striker au winga wewe ni kupiga kazi tu,
Saad Lipangile pale KMC amesajiliwa kama beki wa kati ila Amorin anampanga kama striker,
Hivyo uache kulaumu viongozi kusajili mawinga kama Chama,Saido,Bwalya n.k maana hao sio mawinga kiasili ila wanatekeleza mahitaji ya mwalimu
 
Hajielewagi
 
Ngoja nikupe Darasa la bure kidogo.

Tuna version karibu Tano za Mawinga.

1. Mshambuliaji KUTOKEA pembeni.
Mfano KIBU Denis, KENEDY Musonda nk

2. Wing Back.
SHOMARI kapombe, Yao, DJUMA SHABAN kelvin Kijiru nk

3. Kiungo WA Pembeni.
Chama Saido, Bwalya na Sackho
Wakiwa wanatokea pembe 7 /11.

4. Winga (pure wing)
Winga ya KIZAMANI 11,7
Banda, okra, oubin kramo, moroko, kisinda nk
 
Nilitamani Jamii Forum iwe kama zamani sema sasa ndio Imevamiwa na Kila mtu.

Nilitamani Mashabiki WA Simba yanga au Wanasheria, wachumi, Ma Engineer wangeungana kwa LENGO la Kutoa kauli, mapendekezo au Walaka Mmoja kwa LENGO la kuwafikia walengwa.

Kwamfano tungekubaliana Wana Jamii Forum wenye Mapenzi na Simba kuwasilisha Report yetu ya kiufundi ( Barua Ya wazi kwa Uongozi WA Simba )
Kuhusu Usajili WA TIMU. Nk.

Isivyokuwa Bahati WAJINGA wengi ndio WAMEKUWA wakipewa kipaumbele hapa Jamii Forum.
 
Uko sahihi CAPO, wanaopewa platform ni wale wanaoshauri atafutwe Mganga toka Kizimkazi au Wachezaji wasivae chupi nyekundu siku ya mechi.
 
Ngoja nikupe Darasa la bure kidogo.

Tuna version karibu Tano za Mawinga.

1. Mshambuliaji KUTOKEA pembeni.
Mfano KIBU Denis, KENEDY Musonda nk

2. Wing Back.
SHOMARI kapombe, Yao, DJUMA SHABAN kelvin Kijiru nk

3. Kiungo WA Pembeni.
Chama Saido, Bwalya na Sackho
Wakiwa wanatokea pembe 7 /11.

4. Winga (pure wing)
Winga ya KIZAMANI 11,7
Banda, okra, oubin kramo, moroko, kisinda nk
Moroko-Moloko.

Kijiru-Kijili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitamani Jamii Forum iwe kama zamani sema sasa ndio Imevamiwa na Kila mtu.

Nilitamani Mashabiki WA Simba yanga au Wanasheria, wachumi, Ma Engineer wangeungana kwa LENGO la Kutoa kauli, mapendekezo au Walaka Mmoja kwa LENGO la kuwafikia walengwa.

Kwamfano tungekubaliana Wana Jamii Forum wenye Mapenzi na Simba kuwasilisha Report yetu ya kiufundi ( Barua Ya wazi kwa Uongozi WA Simba )
Kuhusu Usajili WA TIMU. Nk.

Isivyokuwa Bahati WAJINGA wengi ndio WAMEKUWA wakipewa kipaumbele hapa Jamii Forum.
Walaka-Waraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikupe Darasa la bure kidogo.

Tuna version karibu Tano za Mawinga.

1. Mshambuliaji KUTOKEA pembeni.
Mfano KIBU Denis, KENEDY Musonda nk

2. Wing Back.
SHOMARI kapombe, Yao, DJUMA SHABAN kelvin Kijiru nk

3. Kiungo WA Pembeni.
Chama Saido, Bwalya na Sackho
Wakiwa wanatokea pembe 7 /11.

4. Winga (pure wing)
Winga ya KIZAMANI 11,7
Banda, okra, oubin kramo, moroko, kisinda nk
Sackho-Sakho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiujumla usajili wa Simba mpaka sasa haujatafsiri kilichohitajika, ngoja tusubiri pengine muda Bado na dirisha dogo wasifanye makosa tena.
 
Back
Top Bottom