hahahaahah Bishanga kuna kitu unantafuta siku moja tu ndio unataka unigande ka luba au uliacha alama ???unataka uifute heheheeheheheehTransfer details:
Bishanga kahama barcelona kwenda real madrid
amu kahama toka arsenal ladies kwenda bayer munich frauen
Nivea kahama toka liverpool queens kwenda manchester united sisters
Judgement from everton to chelsea.....kwa mkopo
nitonye from totenham h spurs to borussia dortmund
Erickb52 from toto afrika to ushirika moshi
Arushaone from AFC arusha to nyoka stars mererani
Nicas Mtei from machalii stars to mbokhomu rangers of marangu
Mganga wa jf rangers anaendelea kuwa Mzizi mkavu akisaidiwa na Nyani Ngabu.
Ngoja nikupiem tutete kidogo.
wewewewe umenielewa vibaya nilimtoa siku moja kumnunulia bia juzi ile anapiga makelele ameshindwa kuendesha gari mkewe akamchukue nilikuwa nae viwanja hajawahi nunuliwa bia namna ile anataka anigande!Mushaija !
Una to late down ujue!
Nivea ana announce eti ulimmega mara 1 tu!
Huoni hiyo ni zarau?
Result yake ndo tunatangazwa Me wa kisasa goigoi ! Ina maana ile Mipweza unayoinunuaga hua umetumwa na watu au?
wewewewe umenielewa vibaya nilimtoa siku moja kumnunulia bia juzi ile anapiga makelele ameshindwa kuendesha gari mkewe akamchukue nilikuwa nae viwanja hajawahi nunuliwa bia namna ile anataka anigande!
acha kuwaza ngono kijana
Kuna mtu kahama kahamia Kahama....
Kuna mtu kahama kahamia Kahama....
Na mhamo wa kuhama kahama umeleta dhahma Kahama Hapahamiki kumbe
Kaakaa kwanza! Jael lady Sie tumepewa dirisha , wewe huenda ukapewa mlango!