dirisha la usajili lafungwa ulaya,orodha kamili.....

nashukuru sana kwa kupewa cheo cha Captain
kwani huwaga nakitamani sana na nakipenda
si mchezo haya ngoja nibaki nisubirie na hiyo
timu sijui ni timu gani

Ila huo ukocha ungempa Arushaone maana
huyo uliyempa nadhani tutakorofisha pindi
timu yake ikishindwa.
Wala usikimbie mwaya kuna timu tunapanga na Bishanga, utakuwa captain!

Cc: Bishanga

Kocha nadhani atakuwa Bujibuji
 
Last edited by a moderator:



Wewe team captain na mimi team manager (Coach)?? Haya kanyaga twende....! Team itany'akua vikombe vyoooote! Dadadeki.
 
Wala usikimbie mwaya kuna timu tunapanga na Bishanga, utakuwa captain!

Cc: Bishanga

Kocha nadhani atakuwa Bujibuji
Mi nataka ndio niwe mmiliki bhana...
Ukocha mbaya, hebu muone yule babu wa kizungu anavyokonda kila siku. Tena nasikia kuanzia twita imeanza, hawajawahi kuchukua kombe hata moja, kwa hiyo hamna shabiki yoyote aliye tweet TUMEBEBA KOMBE

 
wewewewe umenielewa vibaya nilimtoa siku moja kumnunulia bia juzi ile anapiga makelele ameshindwa kuendesha gari mkewe akamchukue nilikuwa nae viwanja hajawahi nunuliwa bia namna ile anataka anigande!
acha kuwaza ngono kijana

Unavyojua kuzuga... afu Nivea ntakutafuta unipeleke SOBIBO na Lebanoni... nina ishu kule ila nimekosa mwenyeji..
 
Last edited by a moderator:
Unavyojua kuzuga... afu Nivea ntakutafuta unipeleke SOBIBO na Lebanoni... nina ishu kule ila nimekosa mwenyeji..
hahaahahah mwenyekiti wangu mstaafu usijali ,mimi kwenda itakuwa shida ntakupa yule mjita atakupeleka ,SOBIBO ukipanda tu pantoni kuelekea ng'mbo ya pili mbona panaonekana sana pembeni tu ya ule ukuta wa mwalimu nyerere utaona vijumba vyao vya ajabu ajabu .
 

Mie sio mstaafu...mapinduzg haya yamefeli kama kawaida kama yale ya kwako na yale ya ummu kulthum... nitaenda SOBIBO wangu...
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana, Bishanga anapenda kufurahisha warembo ndio maana amekuja na timu maalum ya warembo watupu.
Mi nimekuibia tu siri za kutoka chumbani kwa Bishanga, ye ndio ana makabrasha yote ya hiyo Team, kwanzia jina la timu hadi festi ileveni......
Bujibuji ndio kijana wa Zombie, huyo Arushaone sidhani kama jina lake litapita!
 
Last edited by a moderator:
Mi nataka ndio niwe mmiliki bhana...
Ukocha mbaya, hebu muone yule babu wa kizungu anavyokonda kila siku. Tena nasikia kuanzia twita imeanza, hawajawahi kuchukua kombe hata moja, kwa hiyo hamna shabiki yoyote aliye tweet TUMEBEBA KOMBE

Poti hayo matani ya ngumi.... lol!

Naona unalenga kwenye mgogoro wa maslahi na Zombie mwenyewe, nitaongea na Binamu yangu Kongosho tucheki namna ya kumhujumu Zombie ili aachane na mawazo ya hii timu ili sisi tuibe aidia, timu iwe yetu!

Ila mpaka sasa Bishanga ana maslahi maalumu na timu hii maalumu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…