Discipline: Somo zuri kutoka kwa marehemu Bruce Lee

Kuna story huwa ipo mtaani eti alipigana na maninja 12 akawashinda hii inaukweli kweli? Ukichukulia kuwa maninja huwa wanatumia uchawi na nyenzo zao si mchezo
Yawezekana ni kweli bruce lee ana rekodi ya kutowahi kupigwa hata siku moja. Pambano ambalo hakushimda alikua anamiaka 13 kama sijasahau..alitoka Draw
 
Mabaharia kila siku kushindana na papuchi sijui watafanikiwa lini
Wakijitambua tu watafanikiwa. Ubaharia wangeutumia kujuzana mbinu za kumake bingo..sasa wao wanatumia kutafuta mademu
 
Uongo mkubwa sana. Mateke sita ndani ya Sekunde? Uongo huu muwe mnasimuliana mkimaliza kusoma ile usiku wenyewe mnaita prepo. Labda hujui sekunde inakuaje. Akili za kuambiwa changanya na zako.

Uongo mkubwa sana. Mateke sita ndani ya Sekunde? Uongo huu muwe mnasimuliana mkimaliza kusoma ile usiku wenyewe mnaita prepo. Labda hujui sekunde inakuaje. Akili za kuambiwa changanya na zako.
Hahahaaa acha ubishi mkuu. Hata video zipo nyingi tu zaonyesha akifanya hvo
 
Nami nimejiuliza mara mbili mbili. Chumvi ya Uvinza.
Mkuu video zipo kabisa ndio maana zikaitwa rekodi amabazo hazitakuja kuvunjwa. Hebu google hzo video ujionee
 
Mkuu video zipo kabisa ndio maana zikaitwa rekodi amabazo hazitakuja kuvunjwa. Hebu google hzo video ujionee
Hebu wewe mwenyewe upload hapa hiyo video clip mahsusi kwa ajili ya kuthibitisha hilo ili na wewe ikuondoe kwenye lawama za kuzusha jambo.
 
Kwa hyo nayo ni rekodi ya kusema akumbukwe????

Harafu ulivyokuwa huna aibu unawalinganisha hao viumbe vyako na Yesu kundi moja daaah!!!

Mkuu leo umetoa boko!!!

Takataka yako pale juu edit tena.
Harafu! wewe ni wa kanda maalumu?
 
Katika somo zuri tusisahau Huu uzi Kuna chumvi pia
 
Ila kuna KAMBA nyingi kwenye story yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…