Discipline: Somo zuri kutoka kwa marehemu Bruce Lee

Legend
FB_IMG_1568278879939.jpeg
 
Hahahaaa acha ubishi mkuu. Hata video zipo nyingi tu zaonyesha akifanya hvo
Mtu ambaye hafuatilii , huwezi bishana nae, kwa taarifa tu Bruce ngumi yake moja ilikua na zaidi ya kilo mia mbili, kwa wale wanaofahamu nini maana ya kupima kilo kwenye sparring.....
 
Hata Mimi nimeshangaa sana anapiga teke saa ngapi?anarudisha mguu saa ngapi?anajiandaa saa ngapi ili apige teke lingine.
Ama kweli hii ni ajabu na kweli.
Sio teke za msosi wa broiler na chips kavu mkuu, ni teke za mazoezi mazito na meditation ngumu za martial arts...
 
Hawaamini kabisa.. Bruce alikua mtu wa mazoezi mazito.. Ngumi yake ilikua imauzito kuliko ngumi ya mohamed ali.. japo mudi alikua ana mwili mkubwa kumshinda
 
Kuwaelewesha hao waelewe ni kazi kubwa, sawa na kumchukua mreno original ukamlazimisha kuelewa kindengereko
 
Hawaamini kabisa.. Bruce alikua mtu wa mazoezi mazito.. Ngumi yake ilikua imauzito kuliko ngumi ya mohamed ali.. japo mudi alikua ana mwili mkubwa kumshinda
Kuna documentary moja, katika maongezi waliweka kifaa ukutani cha kupimia uzito wa ngumi, jamaa alipopeleka ngumi yake jamaa walibaki hawaamini macho yao baada kipimo kusoma 223.8kg.
 
Sio teke za msosi wa broiler na chips kavu mkuu, ni teke za mazoezi mazito na meditation ngumu za martial arts...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo unataka kusema wanaume wa Kinondoni ndio mateke yao ya polepole sana.
 
Yaah, wa kinondoni hata akirusha teke naweza kulipangua na moshi wangu wa fegi tuu..[emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa nampenda sana bruce, hata upigaji wake hata leo ukija vibaya utazani umekutana na huyo mzee, rest in peace broo
 
Ahsante sana mkuu,tathmini nzuri.kwa mtizamo huu tunaweza kufikia malengo na kujenga taifa bora
 
Back
Top Bottom