Platnam
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 769
- 1,237
Sasa nini cha kushangaza hapa?Niliwahi kuuliza taa ya mbele ya Discovery 4 nikaambiwa TSH 750,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nini cha kushangaza hapa?Niliwahi kuuliza taa ya mbele ya Discovery 4 nikaambiwa TSH 750,000
Hivi kweli nduhu,upo radhi utoe m43 kununja Vanhard uache discovery 3 kwa m 35?? Embu tuache utani,wakati nanunua vw tiguan nilitishwa sana yaani,sahv chuma ina mwaka wa tano sijagusa kitu zaidi ya svc baasi,tutafute pesa hakuna gari mbovu
Omba usipate nayo ajali mbaya!Kamwe sihami kwa Mjapan.
Kawaida tu mbona nusu ya taa ya nyuma ya bmw f25 2012 inauzwa 1.2M .Niliwahi kuuliza taa ya mbele ya Discovery 4 nikaambiwa TSH 750,000
MtumeeeKawaida tu mbona nusu ya taa ya nyuma ya bmw f25 2012 inauzwa 1.2M .
Yes. UK na US wanaweka hata engines za Corvette za LS3 n.k ila wanafanya mods kidogo
vw mvua ikinyesha unapaki ka bodaboda,Hivi kweli nduhu,upo radhi utoe m43 kununja Vanhard uache discovery 3 kwa m 35?? Embu tuache utani,wakati nanunua vw tiguan nilitishwa sana yaani,sahv chuma ina mwaka wa tano sijagusa kitu zaidi ya svc baasi,tutafute pesa hakuna gari mbovu
Wapi hao, Wanaonunua LR na kushindwa maintenance bills au??Masikini wana shida sana.
Masikini wana shida sana.
Huko ni gharama balaa, ila ukimpata fundi wako 1, sio mbaya...Kiukweli kabisa kuna brand ya hizi gari ni muhimu mno kwenda kufanya schedule maintenance au repairs kwa dealer wake kwasababu mitaani changamoto ni kubwa, expert walio qualify ni nadra.
Unajua services ya kawaida nafanya 500.000?Niliwahi kuuliza taa ya mbele ya Discovery 4 nikaambiwa TSH 750,000
Tiguan anatumia house girl wangu kuendea sokoni na kuchukua watoto school ipo vizuri hasa mafuta.Hatari na nusu. Wakati fulan nilitaka kujichanganya nikastuka. Nimekaa Kwa Tiguan mwaka wa pili sasa
So what?Tiguan anatumia house girl wangu kuendea sokoni na kuchukua watoto school ipo vizuri hasa mafuta.
Mkuu naona umeandika Kwa furaha!View attachment 2843066View attachment 2843067View attachment 2845421View attachment 2845424View attachment 2845425
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi.
Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.