Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

Hivi kweli nduhu,upo radhi utoe m43 kununja Vanhard uache discovery 3 kwa m 35?? Embu tuache utani,wakati nanunua vw tiguan nilitishwa sana yaani,sahv chuma ina mwaka wa tano sijagusa kitu zaidi ya svc baasi,tutafute pesa hakuna gari mbovu

Naelewa kibongo bongo watu bado wanaziogopa gari zote za ulaya, and rightly so. Ila Tiguan si sawa na Discovery (especially hizi engine za diesel). Discovery ujipange haswa especially ikiwa ishatrmbea haswa.
Suala la comfortability na utamu wake, discovery huwezi fananisha na vanguard, ila kama huna kipato cha kikubwa vanguard itamfaa hata kama bei ya manunuzi ni juu kidogo
 
Yes. UK na US wanaweka hata engines za Corvette za LS3 n.k ila wanafanya mods kidogo

View: https://youtu.be/uF4XCSUrts8
Now i get it. Nilikuwa nashindwa kufigure out hawa jamaa wanapataje HP kubwa ivo.
Huyu kijana ali ni inspire. Nina ndoto yakujenga a defender au Land Cruiser siku za karibuni, challenge ni kupata mafundi watakaoweza kushare expirience maana sijui chochote kuhusu mifumo ya magari.
 
Hivi kweli nduhu,upo radhi utoe m43 kununja Vanhard uache discovery 3 kwa m 35?? Embu tuache utani,wakati nanunua vw tiguan nilitishwa sana yaani,sahv chuma ina mwaka wa tano sijagusa kitu zaidi ya svc baasi,tutafute pesa hakuna gari mbovu
vw mvua ikinyesha unapaki ka bodaboda,
 
Kiukweli kabisa kuna brand ya hizi gari ni muhimu mno kwenda kufanya schedule maintenance au repairs kwa dealer wake kwasababu mitaani changamoto ni kubwa, expert walio qualify ni nadra.
Huko ni gharama balaa, ila ukimpata fundi wako 1, sio mbaya...

Sent from my SM-S908E using JamiiForums mobile app
 
Duh na mimi range ilikuwa ni my favorite car ujue😳
 
Hatari na nusu. Wakati fulan nilitaka kujichanganya nikastuka. Nimekaa Kwa Tiguan mwaka wa pili sasa
Tiguan anatumia house girl wangu kuendea sokoni na kuchukua watoto school ipo vizuri hasa mafuta.
 
Back
Top Bottom