WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Mama kanisa anasisitiza nini baina ya watu ?Uislam umeruhusu muislam kudanganya kwasababu ya vita,mke na dini.
muislam akianza kukuhubiri dini usifikirie kuwa anahubiri ukweli wote.
Robo ukweli the rest Taggiya.
Aljazira kila siku wanaonyesha picha za wamama na watoto wadogo wakiwa wamekufa ama wamejeruhiwa.
Unaanza jiuliza" inaamaa Gaza inakaliwa na watoto na wamama tu ama makombora ya Israel yanachagua watoto na akina mama tu, hayataki wanaume?".
Full propaganga tupu.
Kulingana na ripoti hiyo, shambulio hili lililenga sehemu ya juu kabisa ya Mlima Emba Soira, ambayo hutumiwa na jeshi la Israeli kama kituo cha ujasusi katika Bahari Nyekundu, ambako pia kuna makumi ya ndege za kivita za Israeli.Habari wanajukwaa!!
Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea.
Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake.
Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni uwongo sasa sijuhi anafanya hivyo kwa maslahi ya nani.
Sisi sote hatupendi vita, hatupendi unyanyasaji, na ndio maana tunapigania haki ipatikane kwa kila kibinadamu.
Ushabiki ambao hausaidii tuache, acheni kufurahia vifo vya binadamu wenzenu, Gaza na Ukraine wanapitia hali mbaya sana tena ebu tuwaombee jamani.
Amani ndiyo asili yakeMama kanisa anasisitiza nini baina ya watu ?
Wanaonyesha vitoto vinajiliza ili kutafuta huruma, unaona kabisa kusudi ni nini . Kwa watoto kamera hazitoki, lakini magaidi yaliyokufa wanaficha hawaonyeshi. Israel imeshakuwa hilo,ndiyo maana alitafutwa yule ripoter wa aljazira hakuwepo familia yake ikaliwa .Uislam umeruhusu muislam kudanganya kwasababu ya vita,mke na dini.
muislam akianza kukuhubiri dini usifikirie kuwa anahubiri ukweli wote.
Robo ukweli the rest Taggiya.
Aljazira kila siku wanaonyesha picha za wamama na watoto wadogo wakiwa wamekufa ama wamejeruhiwa.
Unaanza jiuliza" inaamaa Gaza inakaliwa na watoto na wamama tu ama makombora ya Israel yanachagua watoto na akina mama tu, hayataki wanaume?".
Full propaganga tupu.
Natumia sana BBCHabari wanajukwaa!!
Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea.
Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake.
Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni uwongo sasa sijuhi anafanya hivyo kwa maslahi ya nani.
Sisi sote hatupendi vita, hatupendi unyanyasaji, na ndio maana tunapigania haki ipatikane kwa kila kibinadamu.
Ushabiki ambao hausaidii tuache, acheni kufurahia vifo vya binadamu wenzenu, Gaza na Ukraine wanapitia hali mbaya sana tena ebu tuwaombee jamani.
Waisrael waliouliwa sio ukatili.? Mpunguze kujiona wasafi israeli uzuri hana ujuha unamjaribu anakupelekea moto mpka uitafute huruma ya mabeberu.Kulingana na ripoti hiyo, shambulio hili lililenga sehemu ya juu kabisa ya Mlima Emba Soira, ambayo hutumiwa na jeshi la Israeli kama kituo cha ujasusi katika Bahari Nyekundu, ambako pia kuna makumi ya ndege za kivita za Israeli.
Vyanzo vya habari vinasema, afisa wa ngazi ya juu wa Israel ameuawa wakati wa shambulio hilo na kwamba utawala huo wa Kizayuni umeficha suala hili.
Kwa sasa utawala haramu wa Israel unaandamwa na hasira za walimwengu kutokana na mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala huo katili dhidi ya watu wa Palestina.
Kwa mujibu wa ripoti ya Wizara ya Afya ya Palestina, zaidi ya watu 7,800 wameuawa shahidi na wengine takriban 20,000 wamejeruhiwa katika siku 20 za mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza