WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Habari wanajukwaa!!
Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea.
Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake.
Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni uwongo sasa sijuhi anafanya hivyo kwa maslahi ya nani.
Sisi sote hatupendi vita, hatupendi unyanyasaji, na ndio maana tunapigania haki ipatikane kwa kila kibinadamu.
Ushabiki ambao hausaidii tuache, acheni kufurahia vifo vya binadamu wenzenu, Gaza na Ukraine wanapitia hali mbaya sana tena ebu tuwaombee jamani.