Dismas Ten ulitaka kutufanyia Mtima Nyongo Yanga, huwezi shindana na Serikali wewe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nawaambia Yanga ni Taasisi kubwa sana. Asilimia 80 ya Wana CCM ni Yanga na Chama ni Yanga. Huyu Dismas alitaka shindana na Nchi. Kiko wapi?

IMG-20230117-WA0002.jpg
 
Mchezaji tegemeo kwenye timu anatolewaje kwa mkopo? Kibiashara haimake sense ila kivyetu vyetu.
 
Hii time ni singida utd B. Itakuja kufa na madeni na kupotea kusiko julikana...
 
Mchezaji tegemeo kwenye timu anatolewaje kwa mkopo? Kibiashara haimake sense ila kivyetu vyetu.
Kwani Habib Kyombo si alisainiwa na Singida Big stars akitokea Mbeya City na kabla Dirisha la usajili halijafungwa Simba wakamsajili kutokea Singida Big stars mbona Leo Metacha amesajiliwa Yanga akitokea Singida Mbumbumbu fc mnakasirika?
 
Huyu Dismas ten alivyokuwa Yanga alikuwa bingwa wa kubuni jezi zenye mvuto. Nimeona na Singida Wana jezi Kali kuliko timu yoyote Tanzania tofauti na za Yanga za mavibwengo na Simba kama Yale manguo ya mawingu ya zamani.
 
Nani amekasirika? Hivi hauwezi kuzungumza bila jazba?

Nimeuliza swali la kimantiki tu. Huyu Metacha inaonyesha alikuwa tegemeo la timu, inakuwaje sasa aachiwe tu kwa mkopo? Katika biashara za wachezaji wa soka jambo hili linaleta mantiki?

Siyo kila kitu ni cha kuzungumza kwa ushabiki. Huu ni mpira tu.
 
Mchezaji tegemeo kwenye timu anatolewaje kwa mkopo? Kibiashara haimake sense ila kivyetu vyetu.
Kwa muda sasa golikipa namba kwa sasa ni Benjamin Haule. Hivyo uache manung'uniko yasiyo na kichwa, wala miguu.
 
Huyu Dismas ten alivyokuwa Yanga alikuwa bingwa wa kubuni jezi zenye mvuto. Nimeona na Singida Wana jezi Kali kuliko timu yoyote Tanzania tofauti na za Yanga za mavibwengo na Simba kama Yale manguo ya mawingu ya zamani.
Uanzishe sasa timu yako, halafu umpe hicho kitengo cha kubuni hizo jezi zenye mvuto.
 
Kwa muda sasa golikipa namba kwa sasa ni Benjamin Haule. Hivyo uache manung'uniko yasiyo na kichwa, wala miguu.
Ni swali. Asante kwa taarifa. Ila yeye kama CEO ina maana hana sauti katika kujua thamani ya mchezaji? Nani mwingine katika uongozi wa timu anaweza kujua hilo na kulitolea maamuzi?
 
Mwigulu angejua anavyoharibu brand ya timu yake. kwa huu upuuzi wa kuonyesha mapenzi yaliyopitiliza kwa yanga...mwisho wa siku itamgharimu sana.
Hivi ile Singida United iliishia wapi? Hajifunzii tyuuh huyu baba, khaaaah
 
Mwambie huyu jamaa yako atakufa kabla ya wakati wake. Akumbuke tu Yanga ilikuwepo, ipo, na itakuwepo.
Shogaaaa angu bas hapo upoo rohooo kwatuuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo neno shogaaaa angu lina ukakasi! 😩
 
Hilo neno shogaaaa angu lina ukakasi! [emoji30]
Wee nae em hukoo ukakasi upii huo? Wee jua ni neno km best, rafk, mdau etc.

Ukakasi kwa kipi bhanaa, em tuliaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwigulu angejua anavyoharibu brand ya timu yake. kwa huu upuuzi wa kuonyesha mapenzi yaliyopitiliza kwa yanga...mwisho wa siku itamgharimu sana.
Hela hana uchungu nazo so he doesn't care.
 
Back
Top Bottom