Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

Babamzungu yuko vizuri sana ila ni swala la muda tu au ndio mnaenda kizungu mamamzungu ?
 
Hao ndio wazee wa saikolojia ya mahusiano na mapenzi, wanawazuoni, na ukilazimisha saaaana Kwa mda mrefu inakua na FORCE X TIME (FT)= IMPULSE unagain momentum ya kuwa single. Najua wanawazuoni mmenieoewa
😅😅💔 Mkuu hii imekaa unyama sana, Ukiforce kwa muda mrefu Mambo yanaharibika zaidi. Nakutunuku Shahada ya Fizikia ya Mapenzi.
 
Ahsante mkuu japo mimi ni mdada ila pia wadada wa mkoani wakamuiba mpenzi
Manzi yangu tumetengana 2months tu saiv hakuna rangi nimeacha kuona. Mpaka nishakubali yaishe... [emoji16][emoji16]

Saiv nikihama mkoa eiza nihame na manzi yangu, nimuache na mimba au Tuachane.

Maswala ya kutiana stress sitaki

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Long distance relationship ni scam, yaani uisafirie mbususu, ukiwa na ham huna kitu unaweza kufanya...aah wapi.

Binafsi hata Mbezi-Mbagala tu sitaki, kitu kikae Kimara-Mwenge, ukihitaji its just a call away na ndani ya nusu saa mnaonana. Huoni bwana DeepPond anavyofaidi.😅
 
Umeneno kweli Bro,
Mimi wangu kavumilia mwaka tu alivoanza kuliwa nje akaanza dharau mwisho akanishusha vyeo akanichana live kapata mtu sahih kwa maisha yake so niachane nae. Saivi sitaki kupenda toto la mtu mimi kaz yangu ni kuheshim tu na kuthamin upendo naopewa na yeyote Ke naeona ananifaa kwa matumizi ya hapa na pale.
 
Si ndiyooo, Amin kila mtu anamkandaji wake wa karibu mwendo wa mguu kama Ambulance. Ila nimejifunza kumheshim na kumthamin mwanamke anaekua available mara tu unapomhitaji ni wa maana sana kushinda hata hawa future wives maana maisha ni sasa.
 
Na mkiwa mnaishi pamoja (distance, s = 0), kwa muda mrefu sana (time, t ➡️ ♾️), vijana hawahawa wanasema angalia hawa wapenzi wameishi pamoja kwa muda mrefu mpaka wanafanana (kwa sura)
 
Pole mkuu vipi shida ipo kwake au na wewe ushapata mwingine huko mkoa mpya? Mapenzi ya mbali ni shida kumanage, japo inawezekana mkiwa na nia thabiti
 
Alooh kumbe na wanawake mnapigwa na vitu vizito, ila me nachojua mwanaume atakucheat tu ila hawezi kukuacha mapenzi bado yapo akirudi huyo ni wako. Vipi utampokea?
Ahaa hapana maana alihamia huko kikazi, so kurudi huku ilikua kama haiwezekani, ila nilichanganyikiwa unampigia simu anapokea kama kwa kuibia hivi sijui ndiyo mida akiwa na mpenzi mpya🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…