Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Hakika hayana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika hayana
Babamzungu yuko vizuri sana ila ni swala la muda tu au ndio mnaenda kizungu mamamzungu ?Tatizo mnaviziana sana si wenginee waume zetu wanakaaga maporini tu chance ya kuonana na mara chache kwa mwaka hata mara 3….
Long distance relationship ni mawasiliano tu amini kwambaa….
Mfano sisi kwa siku tunaongea simu mara 5 na charting za hapa na pale
Pole Sana Tajiri, hili jambo ni mapito ya kila kijana anaejitafuta aidha ukumbatie mapenzi usitoke kusaka pesa ufe masikini uachwe na kila mtu.Sina hamu na long distance relationship, ilinivunjia penzi langu, wa mkoani wakamuiba babe😪
😅😅💔 Mkuu hii imekaa unyama sana, Ukiforce kwa muda mrefu Mambo yanaharibika zaidi. Nakutunuku Shahada ya Fizikia ya Mapenzi.Hao ndio wazee wa saikolojia ya mahusiano na mapenzi, wanawazuoni, na ukilazimisha saaaana Kwa mda mrefu inakua na FORCE X TIME (FT)= IMPULSE unagain momentum ya kuwa single. Najua wanawazuoni mmenieoewa
Ahsante mkuu japo mimi ni mdada ila pia wadada wa mkoani wakamuiba mpenziPole Sana Tajiri, hili jambo ni mapito ya kila kijana anaejitafuta aidha ukumbatie mapenzi usitoke kusaka pesa ufe masikini uachwe na kila mtu.
Manzi yangu tumetengana 2months tu saiv hakuna rangi nimeacha kuona. Mpaka nishakubali yaishe... [emoji16][emoji16]Ahsante mkuu japo mimi ni mdada ila pia wadada wa mkoani wakamuiba mpenzi
Alooh kumbe na wanawake mnapigwa na vitu vizito, ila me nachojua mwanaume atakucheat tu ila hawezi kukuacha mapenzi bado yapo akirudi huyo ni wako. Vipi utampokea?Ahsante mkuu japo mimi ni mdada ila pia wadada wa mkoani wakamuiba mpenzi
Umeneno kweli Bro,Manzi yangu tumetengana 2months tu saiv hakuna rangi nimeacha kuona. Mpaka nishakubali yaishe... [emoji16][emoji16]
Saiv nikihama mkoa eiza nihame na manzi yangu, nimuache na mimba au Tuachane.
Maswala ya kutiana stress sitaki
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Si ndiyooo, Amin kila mtu anamkandaji wake wa karibu mwendo wa mguu kama Ambulance. Ila nimejifunza kumheshim na kumthamin mwanamke anaekua available mara tu unapomhitaji ni wa maana sana kushinda hata hawa future wives maana maisha ni sasa.Long distance relationship ni scam, yaani uisafirie mbususu, ukiwa na ham huna kitu unaweza kufanya...aah wapi.
Binafsi hata Mbezi-Mbagala tu sitaki, kitu kikae Kimara-Mwenge, ukihitaji its just a call away na ndani ya nusu saa mnaonana. Huoni bwana DeepPond anavyofaidi.😅
Na mkiwa mnaishi pamoja (distance, s = 0), kwa muda mrefu sana (time, t ➡️ ♾️), vijana hawahawa wanasema angalia hawa wapenzi wameishi pamoja kwa muda mrefu mpaka wanafanana (kwa sura)Wakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo mwendokasi ni wa kwenda wapi?
Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa.
Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari siyo kifo, Bella akasema atarudi.
Wakuu hii equation ya Distance/time haijawahi mwacha mtu salama haijalishi mnapendana kiasi gani.
Kwamba wahuni wakimtokea Mpenzi/Mkeo akawajibu mimi nina mtu wangu huwa wanamuuliza yupo wapi? Utasikia anafanyia kazi/anasoma mkoani (distance, S)
Hapa ndo vijana tunasema ni swala la muda(t) tu Kumaanisha hakuna Penzi tena hapo.
Iweni na Sabatho Njema.
Pole mkuu vipi shida ipo kwake au na wewe ushapata mwingine huko mkoa mpya? Mapenzi ya mbali ni shida kumanage, japo inawezekana mkiwa na nia thabitiManzi yangu tumetengana 2months tu saiv hakuna rangi nimeacha kuona. Mpaka nishakubali yaishe... [emoji16][emoji16]
Saiv nikihama mkoa eiza nihame na manzi yangu, nimuache na mimba au Tuachane.
Maswala ya kutiana stress sitaki
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Distance is invesly proportional to time and time is direct proportional to love under a ceteris peribusView attachment 2863617Kwa unavomjua mpenz wako na unavojijua ipi itakua graph ya penzi lako mkitengani kwa umbali flan?
Ahaa hapana maana alihamia huko kikazi, so kurudi huku ilikua kama haiwezekani, ila nilichanganyikiwa unampigia simu anapokea kama kwa kuibia hivi sijui ndiyo mida akiwa na mpenzi mpya🤔Alooh kumbe na wanawake mnapigwa na vitu vizito, ila me nachojua mwanaume atakucheat tu ila hawezi kukuacha mapenzi bado yapo akirudi huyo ni wako. Vipi utampokea?
Nakazia.Kama maokoto yapo kila mwez anapanda ndege tu kufata mjegejo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sis nimecheka mnoo, kwann lakini?Sina hamu na long distance relationship, ilinivunjia penzi langu, wa mkoani wakamuiba babe[emoji25]
Polee dyadyaa [emoji23][emoji23][emoji23]Ahaa hapana maana alihamia huko kikazi, so kurudi huku ilikua kama haiwezekani, ila nilichanganyikiwa unampigia simu anapokea kama kwa kuibia hivi sijui ndiyo mida akiwa na mpenzi mpya[emoji848]