Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Unamkomoa sio 😂M nmewah kuvumilia kwa mwaka tu ila nilivyojua yy ndo champion wa kutembeza ,aaaaaah mm pia nilipea mwingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamkomoa sio 😂M nmewah kuvumilia kwa mwaka tu ila nilivyojua yy ndo champion wa kutembeza ,aaaaaah mm pia nilipea mwingine[emoji23][emoji23][emoji23]
Mawasiliano yakiyumba ujue ushaingiliwa na mgeniTatizo mnaviziana sana si wenginee waume zetu wanakaaga maporini tu chance ya kuonana na mara chache kwa mwaka hata mara 3….
Long distance relationship ni mawasiliano tu amini kwambaa….
Mfano sisi kwa siku tunaongea simu mara 5 na charting za hapa na pale
Unaibiwa mpaka na wamkoani?🤣😂Sina hamu na long distance relationship, ilinivunjia penzi langu, wa mkoani wakamuiba babe😪
Wadada wa mkoani noma😀😀 waliniibia babe wangu hivi hivi, wanajidai wao ndiyo wanajua kucare😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sis nimecheka mnoo, kwann lakini?
Ahsante baby sisPolee dyadyaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Waliniibia aisee wanajidai wanajua sana kucare wakaka walio kwenye long distance relationship 😀 wakambeba jumla nililiaaaUnaibiwa mpaka na wamkoani?🤣😂
Pole sana ukiibiwa nawewe tafuta wa mtu umuibe ngoma iwe droo 😂Waliniibia aisee wanajidai wanajua sana kucare wakaka walio kwenye long distance relationship 😀 wakambeba jumla nililiaaa
Hahaa kuibiana siyo bana sitaki kuumiza mtu kama nilivyoumia mimi😀Pole sana ukiibiwa nawewe tafuta wa mtu umuibe ngoma iwe droo 😂
Ila mpenzi wa mbali anakoleaga mpaka unaeza hisi umerogwa.
Dunia haipo fair kiasi hicho FS, unaiba kwa nia njema ili mfike mbali ikiwezekana mjenge familia kabisa. Nani anaejali maumivu yako?Hahaa kuibiana siyo bana sitaki kuumiza mtu kama nilivyoumia mimi😀
Kila siku tunashauliwa Kataa ndo tunabisha, haya ni mapenzi tu je uko ndoI kukoje? Nishawah ona Baba mama na watoto wao wanafanana na bado wakaja kuachana tena waumini wazuri sana.Na mkiwa mnaishi pamoja (distance, s = 0), kwa muda mrefu sana (time, t ➡️ ♾️), vijana hawahawa wanasema angalia hawa wapenzi wameishi pamoja kwa muda mrefu mpaka wanafanana (kwa sura)
Ulifeli wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wadada wa mkoani noma[emoji3][emoji3] waliniibia babe wangu hivi hivi, wanajidai wao ndiyo wanajua kucare[emoji3]
Hope ushapoaaAhsante baby sis
Hii hali kweli ilifika mkuu mtu anakutak uwe boua maana kila swali unalouuliza hana majibu sahih matokea yake anachoka kujieleza anaanza kibri.Mapenzi ya mbali yanahitaji ujizime data haswa, uwe unajali kama haujali vile, hapa ndio ile methali ya funika kombe mwanaharam apite hutumika, ukijifanya kila kitu unajali umeisha utakonda kwa stress hasa ukishaanza kuona kuna mabadiliko, we cheza na biti
Uko kama mimiSina hamu na long distance relationship, ilinivunjia penzi langu, wa mkoani wakamuiba babe[emoji25]