Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

Tatizo mnaviziana sana si wenginee waume zetu wanakaaga maporini tu chance ya kuonana na mara chache kwa mwaka hata mara 3….

Long distance relationship ni mawasiliano tu amini kwambaa….

Mfano sisi kwa siku tunaongea simu mara 5 na charting za hapa na pale
Mawasiliano yakiyumba ujue ushaingiliwa na mgeni
 
Na wengi mliokosa ima na mapenzi ya mbali kifupi huwa mnapigiwa hta mkiwa na wepenzi wenu karibu na usikute anayendelea kukupigia anaifungia safari kwa uhuru kabisa na upo nae mji mmoja
 
Kwa ufupi ukiwa na mtu sahihi na mawsiliano yakiwepo huku mkiwa na ratiba za kuonana bc inawezekana ila sio kwa wanawake wenu hawa wa haki sawa
 
Mapenzi ya mbali yanahitaji ujizime data haswa, uwe unajali kama haujali vile, hapa ndio ile methali ya funika kombe mwanaharam apite hutumika, ukijifanya kila kitu unajali umeisha utakonda kwa stress hasa ukishaanza kuona kuna mabadiliko, we cheza na biti
 
Na mkiwa mnaishi pamoja (distance, s = 0), kwa muda mrefu sana (time, t ➡️ ♾️), vijana hawahawa wanasema angalia hawa wapenzi wameishi pamoja kwa muda mrefu mpaka wanafanana (kwa sura)
Kila siku tunashauliwa Kataa ndo tunabisha, haya ni mapenzi tu je uko ndoI kukoje? Nishawah ona Baba mama na watoto wao wanafanana na bado wakaja kuachana tena waumini wazuri sana.
 
"NO MATTER HOW GOOD YOU ARE, IF YOU STAY FOR TOO LONG YOU SPOIL IT; A GOOD DANCER MUST KNOW WHEN TO LEAVE THE STAGE." -PROF. LUMUMBA
 

Attachments

  • b8ffc796501648e99de5104bad24c094.mp4
    455.3 KB
Wadada wa mkoani noma[emoji3][emoji3] waliniibia babe wangu hivi hivi, wanajidai wao ndiyo wanajua kucare[emoji3]
Ulifeli wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi ya mbali inatakiwa ukubali lolote litakalokuja mbele.
 
Mapenzi ya mbali yanahitaji ujizime data haswa, uwe unajali kama haujali vile, hapa ndio ile methali ya funika kombe mwanaharam apite hutumika, ukijifanya kila kitu unajali umeisha utakonda kwa stress hasa ukishaanza kuona kuna mabadiliko, we cheza na biti
Hii hali kweli ilifika mkuu mtu anakutak uwe boua maana kila swali unalouuliza hana majibu sahih matokea yake anachoka kujieleza anaanza kibri.
 
Ikitokea mtu akaingilia penzi lako na ashaambiwa uko mbali mshenzi anajitahid sana kucare yan uhindi wote na ufilipino anammwagia mpenzi wako uonekane wewe hujui lolote kabisa, hapo ndo unalinganishwa mwisho unazidiwa kete unaachwa
 
Back
Top Bottom