Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

Uko kama mimi
Polepole kakq, saivi tukisafiri tunaenda na wapenzi wetu na kama wakibaki tunaondoka na upendo wetu wapenzi wengine wa kuwapa tutawakuta uko uko.
 
Hiyo formula yako umetoa wapi?Ni multiply na sio divide we mzee physi umesoma kwa Mwalimu gani?
Speed = Distance/Time – This tells us how slow or fast an object moves. It describes the distance travelled divided by the time taken to cover the distance. Time = Distance / Speed, as the speed increases the time taken will decrease and vice versa.

Kwa faida ya wengine kama wewe turudishane shule.
 
But if the distance is held constant
 
Wakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo Mwendokasi ni wa kwenda wapi?

Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa.

Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari siyo kifo, Bella akasema atarudi.

Wakuu hii equation ya Distance(Umbali)/time(muda) haijawahi mwacha mtu salama haijalishi mnapendana kiasi gani.

Kwamba wahuni wakimtokea Mpenzi/Mkeo akawajibu mimi nina mtu wangu huwa wanamuuliza yupo wapi? Utasikia anafanyia kazi/anasoma mkoani (distance, S)

Hapa ndo vijana tunasema ni suala la muda(t) tu Kumaanisha hakuna Penzi tena hapo.

Iweni na Sabatho Njema.
Relationships are about sex, nothing more nothing less. Anybody who says otherwise is delusional
 
Alininyamazia 5Months no call no text for no reason bora hata tungegombana ,ingekuwa ww ungevumilia
Hapo unakula tu kona kaka ukiendelea kuforce utagain momentum tukupotezw bure.
 
Back
Top Bottom