Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo formula yako umetoa wapi?Ni multiply na sio divide we mzee physi umesoma kwa Mwalimu gani?Hi ni Supersonic au?
Speed = Distance/Time – This tells us how slow or fast an object moves. It describes the distance travelled divided by the time taken to cover the distance. Time = Distance / Speed, as the speed increases the time taken will decrease and vice versa.Hiyo formula yako umetoa wapi?Ni multiply na sio divide we mzee physi umesoma kwa Mwalimu gani?
Pole mkuuUko kama mimi
Nishapoa ni muda mrefu hii ilitokeaHope ushapoaa
But if the distance is held constantSpeed = Distance/Time – This tells us how slow or fast an object moves. It describes the distance travelled divided by the time taken to cover the distance. Time = Distance / Speed, as the speed increases the time taken will decrease and vice versa.
Kwa faida ya wengine kama wewe turudishane shule.
Mnapenda visasi nyie, lakini si Maandiko yanaruhusu mwanaume kua na masuria kwanini using e vumilia zaidi?
Relationships are about sex, nothing more nothing less. Anybody who says otherwise is delusionalWakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo Mwendokasi ni wa kwenda wapi?
Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa.
Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari siyo kifo, Bella akasema atarudi.
Wakuu hii equation ya Distance(Umbali)/time(muda) haijawahi mwacha mtu salama haijalishi mnapendana kiasi gani.
Kwamba wahuni wakimtokea Mpenzi/Mkeo akawajibu mimi nina mtu wangu huwa wanamuuliza yupo wapi? Utasikia anafanyia kazi/anasoma mkoani (distance, S)
Hapa ndo vijana tunasema ni suala la muda(t) tu Kumaanisha hakuna Penzi tena hapo.
Iweni na Sabatho Njema.
Unamkomoa sio [emoji23]
Kwani hashawahi kuwa na mpenz hata wa karibu? Huyo ni mhogo na mkonoUshai kua na mahusiano ya mbali
Wee usiniambie 😃😂😂Kwani hashawahi kuwa na mpenz haya wa karibu? Huyo ni mhogo na mkono
Aje akane mshamba_hachekwiWee usiniambie 😃😂😂
Ngoja tumskilize kwanza😬. mshamba_hachekwiAje akane mshamba_hachekwi
Ngoja tumskilize kwanza😬. mshamba_hachekwi
sina hela nifanyeje sasa?Aje akane mshamba_hachekwi
😂😂hapo lazima moto ukuwakie aiseesina hela nifanyeje sasa?