Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

Kumbe ndio maana naona viklipu kibao insta.. duh

Labda hata alikuwa na pete kwenye mkoba wake ampatie amvalishe..
 
Hii itakua kiki tu mana huyo Heri jana katoa wimbo mpya.
Siku mtaacha mtu mtaroni anakata roho kwa kuelemewa na njaa kwa kudhani amelewa!

Anyway, hata hivyo huwa siamini chochote kinachotoka kwenye mikono na kichwa cha Diva! Hata lile jina lake halisi la Loveness ambalo amelikana mahakamani, sikuwahi kuamini kwamba ndio jina lake... nahisi Mzee Malinzi alimwita Upendo nae akaamua kujiita Loveness!!
 
Diva nlikua nalichukia sana hili dada ila jana yn nmemuonea huruma....uyu K heri hakutakiwa kufanya kitendo kile ni vibaya sana kafanya....Mwanaume rijali Huezi acha demu public ata siku moja....km alikua na nia ya kumuacha angesubir tu wamalze interview waende hom wakaachane....Diva jana anaonekana kbs kua alikua amechanganyikiwa yaaani
 
Yule diva ni shapeless, honestly mimi hata bure sipigi pale. Aliwahi kusema wanaume hatufui boxer, anae mfulia boxer kamkimbia sasa.
 
HAHAHAHA sidhani maana ni kama diva alikuwa suprised sana.....halafu wimbo ule hata watumie kiki ya kuvua nguo na kubaki uchi hautoweza kuwa hit ...ni wimbo mzuri lakini si hit
Diva pia alikuwepo studio? Ulimuona wapi yuko surprised? Huenda hiyo nayo ni planned pia
 
Dogo alipoulizwa na musa kama anampenda diva kweli akashindwa kujibu hapo ndio nilipochoka eti anasema kwa sasa tupo kikazi,mtu unashindwaje kusema unampenda mtu kama kweli unampenda tena live redioni...dada zangu muwe makini sana na watt hawa
 
Vyombo vya habari kwasasa vinawatengenezea kiki wasanii ili wawe maarufu

Kuna watu wanapewa pesa kabisa kwaajili ya kutengeneza kiki.

Mkiendelea kuamini haya mahusiano ya kuchorwa ili kumpush mtu mmoja kimuziki mtakuwa mnachekesha sana.

Kila kitu kinapangwa na kinajulikana na pande zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…