cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kumbe ndio maana naona viklipu kibao insta.. duh
Labda hata alikuwa na pete kwenye mkoba wake ampatie amvalishe..
Labda hata alikuwa na pete kwenye mkoba wake ampatie amvalishe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku mtaacha mtu mtaroni anakata roho kwa kuelemewa na njaa kwa kudhani amelewa!Hii itakua kiki tu mana huyo Heri jana katoa wimbo mpya.
Let alone kusimamisha kama kangaroo![]()
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
Akome naye kushobokea vitoto vilivyokuzwa kwa kuku wa kizungu na chips..!![]()
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
Yaani unataka Masqo amuoe Diva?Diva inabidi aolewe na kisandu nalimi mtemi
Sasa huyo dogo alikosa kabisa watoto wabichi warembo? Mpaka anaenda kuparamia makapi
Kwa watoto wakale watoto wenzao? Kizazi kinazidi kupotea!Ndio wakome kuliwa na vitoto
Faida kama zipo ni zipijf ni shida sana jaman loooh
kudate na vitoto kuna hasara zaidi ya faida
Diva pia alikuwepo studio? Ulimuona wapi yuko surprised? Huenda hiyo nayo ni planned piaHAHAHAHA sidhani maana ni kama diva alikuwa suprised sana.....halafu wimbo ule hata watumie kiki ya kuvua nguo na kubaki uchi hautoweza kuwa hit ...ni wimbo mzuri lakini si hit
![]()
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni