Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Huyo diva mbona hamfikii house girl wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sioni mwanaume hapa au hii picha imekua cropped?
Wekeni basi video
jf ni shida sana jaman looohSioni mwanaume hapa au hii picha imekua cropped?
[emoji116]Wekeni basi video
Siyo kila mtu ni muumini wa viongozi wa dini,sisi wengine tunawaona hao kama wapiga Dili tuuu.Hivi ndio naimagine mzazi anaona hii picha au kiongozi wa kiimani anaona hiyo picha, yaani ni aibu mwisho wa siku unaweza kudhalilika kuwa ati hawa ndio nakuja kuwaoza....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sioni mwanaume hapa au hii picha imekua cropped?
Kwa jina lingine wanamwita sijui shishi babyKwani diva ndio nani????
Kweli![]()
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni