Diva anahitaji msaada...

Diva anahitaji msaada...

Au umemzidi, yani mimi wema kaanza kuwa maarufu mimi bado nasoma sijui form 2 sijui 3, ila nashangaa eti mimi mkubwa kuliko yeye wakati sikuchelewa kuanza shule mpaka nachanganyikiwa au yeye mwaka wake ni tofauti na wa kwangu
Hahaha..Inabidi tufanye upembuzi yakinifu wa kalenda wanazotumia..
 
Mbaya zaidi Chibu akimpotezeaga mtu anampotezea mazima, yani ni kama hamuoni. Utaongea wee yeye hana habari na wewe.
Sasa hivi hana effect kachelewa sana

Kumbe nasikia anajipendekeza hili Diamond afute kesi aliyomfungulia, Yan diva anavyomsifia Diamond mpaka mimi mwenye we Naona aibu, mbona watangazaj wenzake hawana hizo wame relax tu , Yan diva ana shobo dundo hatar
 
Hawa NSSF wana ubaguzi sana.
Yaani huyu Diva kafukuzwa kazi juzi tu, tayari wanamlipa mafao yake.
Wengine tunaambiwa tusubiri mpaka tufikishe miaka 60..
 
Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima. Sijui anajikutaga nan mwenyew maskin, Yan anahangaika, full kujisifia I have this and that, mara niko na pesa, halafu kesho yake tena anaanza kupost matangazo ya elfu 30. Mara ana nyumba masaki na mikochen, Yan huyu mbwa anahangaika na maisha had anatia huruma View attachment 1764453
Childish nonsense.
 
Anapo elekea anaweza akachukuliwa hata kwa mkopo,maanake wakutoa hiyo mil 500 bado hajampata.
Kama kina kiba walikuwa wanamgonga bure sasa huyo wa kumwoa kwa mil 500?mtu wa mi 500 labda mtoto wa dangote au bakhresa
 
Au umemzidi, yani mimi wema kaanza kuwa maarufu mimi bado nasoma sijui form 2 sijui 3, ila nashangaa eti mimi mkubwa kuliko yeye wakati sikuchelewa kuanza shule mpaka nachanganyikiwa au yeye mwaka wake ni tofauti na wa kwangu
Anatumia kalenda ya uyole mkuu na si hi ya Gregory
 
Hahaha..wanawake na watu maarufu wa bongo ni wasanii sana..yaani unakuta mtu wakati unasoma sekondari yeye tayari alikuwa anakimbiza mjini na sio mtoto,lakini ukikua unaskia mnapishana mwaka mmoja au miwili..yaani usanii mtupu.

Utashangaa mnapishana umri, bado kidogo utamzidi miaka miwili mitatu.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Au umemzidi, yani mimi wema kaanza kuwa maarufu mimi bado nasoma sijui form 2 sijui 3, ila nashangaa eti mimi mkubwa kuliko yeye wakati sikuchelewa kuanza shule mpaka nachanganyikiwa au yeye mwaka wake ni tofauti na wa kwangu

Wacha ujinga wewe, nunua KALENDA nzuri achana na hizo za BURE utazeeka mapema.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom