Diva anahitaji msaada...

Diva anahitaji msaada...

Hahaha!

Kuna raia mna mabezo sana

Wala usimcheke, diva ukikiona live utachoka yaani kimekaakaa tu kifupi yaani kipo kiajabuajabu halafu kwanye ile show yake kilikua kunatumia ile platform kujiuza.
 
Wala usimcheke, diva ukikiona live utachoka yaani kimekaakaa tu kifupi yaani kipo kiajabuajabu halafu kwanye ile show yake kilikua kunatumia ile platform kujiuza
Manake tupande dau tukale utamu?
 
Weeee!, uliza uambiwe. Au labda utakua umemjua karibuni. Huyo Dem katoka na majamaa kibao, to mention a few ni yule MO Rocker alikua crew member wa The Rockers ya kina Quick Rocker,
Hemed PhD, Crazy Gk, N.K.
Uzuri wake akiwa kwenye mapenzi hanaga siri.
kumbe hemed ashapita[emoji3][emoji3][emoji3]
 
sema hanaga skendo nlisikia ya gk na alikiba napo kwa mbali

Nani atamtaka diva sasa binamu ? Wote wanamjua hamnazo, yule hachelewi kujirecord mkisex Yan she loves attention too much ila ndo haumpendi
 
Kama kina kiba walikuwa wanamgonga bure sasa huyo wa kumwoa kwa mil 500?mtu wa mi 500 labda mtoto wa dangote au bakhresa
Matajiri na familia zao hawawazii mahali kubwa. Kwao mahali ni sehemu ya utaratibu na heshima tu.
Siku zote mtu huteswa na kile kitu hana.
 
Mwaka 2005 nikiwa advance level Diva alikuwa mtangazaji clouds kama mtangazaji

Lets say alikuwa na miaka 22 maana kipindi cha mahaba huwezi tangaza below age 20

So jumlisha miaka 22 na 16 yrs past..lwa sasa Diva ni bibi wa miaka 38 anayepinga hesabu hii aje hapa
Hahaha..wanawake na watu maarufu wa bongo ni wasanii sana..yaani unakuta mtu wakati unasoma sekondari yeye tayari alikuwa anakimbiza mjini na sio mtoto,lakini ukikua unaskia mnapishana mwaka mmoja au miwili..yaani usanii mtupu.
 
Nani atamtaka diva sasa binamu ? Wote wanamjua hamnazo, yule hachelewi kujirecord mkisex Yan she loves attention too much ila ndo haumpendi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anajiita boss hapo ndo anapokukera[emoji3]
 
Weeee!, uliza uambiwe. Au labda utakua umemjua karibuni. Huyo Dem katoka na majamaa kibao, to mention a few ni yule MO Rocker alikua crew member wa The Rockers ya kina Quick Rocker,
Hemed PhD, Crazy Gk, N.K.
Uzuri wake akiwa kwenye mapenzi hanaga siri.
Zitto nae inasemekana kapita
 
Back
Top Bottom