Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nashukuru Mungu hunijui maana daah kwa vichambo seems ajira imekukalia sawa hiyo.Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima.
Sijui anajikutaga nan mwenyew maskin, Yan anahangaika, full kujisifia I have this and that, mara niko na pesa, halafu kesho yake tena anaanza kupost matangazo ya elfu 30.
Mara ana nyumba masaki na mikochen, Yan huyu mbwa anahangaika na maisha had anatia huruma
View attachment 1764453
Haya huyo mhenga mwenzangu inakuwaje sasa? Mmemfanya nini bosi wetu?
Wagenga tunasubiri mahari ipungue by default ili tutupie mzigo