Diva anahitaji msaada...

Nashukuru Mungu hunijui maana daah kwa vichambo seems ajira imekukalia sawa hiyo.

Haya huyo mhenga mwenzangu inakuwaje sasa? Mmemfanya nini bosi wetu?

Wagenga tunasubiri mahari ipungue by default ili tutupie mzigo
 
Sasa billionea anaringia pesa za nssf Jaman, diva akili zake haziko Sawa yule I’m telling you [emoji23]
Diva muwekezaji, kawakopesha NSSF[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zitto nae inasemekana kapita
Hii alisema mwenyewe Diva
Kwenye interview yake na salama kile kipindi cha mkasi nafikiri ukiicheki youtube bado iko,tena alisema kabisa kwamba walishea bed na zitto na akamsifia kwamba the man is intelligent sijui nini nini huko
 
Hii alisema mwenyewe Diva
Kwenye interview yake na salama kile kipindi cha mkasi nafikiri ukiicheki youtube bado iko,tena alisema kabisa kwamba walishea bed na zitto na akamsifia kwamba the man is intelligent sijui nini nini huko
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nikaicheck
 
Hv unajua matangazo 10 ya 30k ni bei gan kwa siku, na kwa mwezi je...?
Kumbuka hata bakhresa anatafuta mia ili awe billionea.
 
Au umemzidi, yani mimi wema kaanza kuwa maarufu mimi bado nasoma sijui form 2 sijui 3, ila nashangaa eti mimi mkubwa kuliko yeye wakati sikuchelewa kuanza shule mpaka nachanganyikiwa au yeye mwaka wake ni tofauti na wa kwangu
Nahisi huwa wanaenda kwenye sayari ya Miller wanakaa huko lisaa limoja then wanarudi sayar ya duniani
 
Hahaha..wanawake na watu maarufu wa bongo ni wasanii sana..yaani unakuta mtu wakati unasoma sekondari yeye tayari alikuwa anakimbiza mjini na sio mtoto,lakini ukikua unaskia mnapishana mwaka mmoja au miwili..yaani usanii mtupu.
Inashangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…