Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Ramani nzuri, angepiga na bati msauzi ingependeza sana
 
Kumbe Uchi unalipa hivoo...
 
Kudadeki hiyo nyumba kwa haraka haraka imeisha ramba zaidi ya molioni 200

Labda kama kahongwa
Lakini sio kwa mshahara wa clouds na ads za insta
Clouds anapokea 3M, sasa kwa mshahara huo hawezi chukua mkopo wa 100M?
Kafanya kazi clouds zaidi ya miaka 6
 
Bora Angejenga Rumu 20 self-contained, kwa Daslam angepiga 100,000 kwa kila rumu kwa mwezi, hivyo angekuwa na kipato cha 2M kwa mwezi
 
Jamani ilo ghorofa kha! jengo kama limejambwa na shetani
 
iyo nyumba ingependez akama angepiga kigae aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…