Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ha ha ha diva hana shida,,shemeji yetu prezoooooo si yupo,,atamtafutia chaka kenya
prezoo mbona alishamtema siku nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha diva hana shida,,shemeji yetu prezoooooo si yupo,,atamtafutia chaka kenya
Za chini ya carpet nasikia wamejadili nakuita sherehe zingine ni za chumbani yaani mapinduzi kuwa jtatu,
ni kweli mkuu, ilianza kwa diva, baada ya kuiunga kamatii kuu ya chadema....na kumwita zitto msaliti.....
Tshs.315,000/=
kwani Diva kaingia lini kamati kuu ya chadema
jaman umepona? nilikumiss sn binamu. hawajambo mbeya?
Clouds noma sana nakumbuka J2 iliyopita hata Dr. Isaack aliogopa kutaja neno kinega mpaka kwanza akaomba ruhusa kwa ruge kulitaja hilo neno maana mtu teja aliyekuwa anamuhoji aka yake ni kinega,na akasema huyu jamaa jina lake flan aka yake ntakuja kukutajia baadae ndio akampigia simu ruge jamaa anaitwa kinega vp tulitaje hewani? Ruge akamwambia haina noma we litaje.
Umevurugwa wewe naona maana ungekuwa msikilizaji wa xxl usingeshangaa isitoshe hapa nipo Bakita kiswahili mimi simtaalamu!!kuwa wewe lecture....Unabahati ni mefunga siwezi kufungulia kwa ajili yako....Mmmm!Unajiita Kaka halafu unaandika hivi!!??Spellings za aina gani hizo eti hara,twangara halafu huachi nafasi mmmh hata kuandika Kiswahili unashindwa.Hebu muwe mnaandika vizuri aibu eti..
Mnafurahia kuona Mtz mwenzako anapokosa ajira .Tuache mambo haya wangefukuzwa kosa lao unalijua?
Unawakilisha hisia za binadamu wengi ambao ikitokea mwenzake mambo yamemwendea kombo moyoni kwake ni furaha alafu usoni unajifanya unamwonea huruma, uswahilini watu husema afadhali tumekuwa ngoma draw! all in all si vizuri kufurahi kwa matatizo ya mwenzako kinachotakiwa ni kuchukua kama funzo ili yasije kutokea kwakowangewafukuza tu
duh hawa jamaa nimetoka nao mbali tangia nipo form 3 hadi sasa hivi mtu mzima na familia yangu, wamenipa burudani and they made my life worthwhile in one way or another,
Management ya clouds imeamua ku'gamble kuwafukuza,
Naona management inataka ku'prove kwamba it can still survive hata majina makubwa yakiondoka