Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Hizo ni casa @... hii redio ye2 cku hizi imeingia kwenye siasa imekuwa jukwaa la CCM
 
Duh! Mbona XXL kwisha habari yake. 7babu hawa jamaa Baba Johnniiiiii na B12 walikuwa wanaipamba kinoumer noumer. Dj Zero huwezi kuchezesha MIXER kwa mzuka zaidi pasipo haya majembe. Kila la kheri popote muendako Mamen Mchomvu na B Twangalala.
 
duh hawa jamaa nimetoka nao mbali tangia nipo form 3 hadi sasa hivi mtu mzima na familia yangu, wamenipa burudani and they made my life worthwhile in one way or another,

Management ya clouds imeamua ku'gamble kuwafukuza,

Naona management inataka ku'prove kwamba it can still survive hata majina makubwa yakiondoka
 
Hii redio iko tanzania ama..clouds fm mbona sijawahi kuisikia
 
Clouds noma sana nakumbuka J2 iliyopita hata Dr. Isaack aliogopa kutaja neno kinega mpaka kwanza akaomba ruhusa kwa ruge kulitaja hilo neno maana mtu teja aliyekuwa anamuhoji aka yake ni kinega,na akasema huyu jamaa jina lake flan aka yake ntakuja kukutajia baadae ndio akampigia simu ruge jamaa anaitwa kinega vp tulitaje hewani? Ruge akamwambia haina noma we litaje.

We utakuwa unafanya Clouds wewe si haba!
 
Unajiita Kaka halafu unaandika hivi!!??Spellings za aina gani hizo eti hara,twangara halafu huachi nafasi mmmh hata kuandika Kiswahili unashindwa.Hebu muwe mnaandika vizuri aibu eti..
Umevurugwa wewe naona maana ungekuwa msikilizaji wa xxl usingeshangaa isitoshe hapa nipo Bakita kiswahili mimi simtaalamu!!kuwa wewe lecture....Unabahati ni mefunga siwezi kufungulia kwa ajili yako....Mmmm!
 
Mnafurahia kuona Mtz mwenzako anapokosa ajira .Tuache mambo haya wangefukuzwa kosa lao unalijua?

Wafungue kesi mahakamani kuomba swala lao lisijadiliwe mpaka hapo watakapoelezwa makosa yao na kujitetea!!!!
 
wangewafukuza tu
Unawakilisha hisia za binadamu wengi ambao ikitokea mwenzake mambo yamemwendea kombo moyoni kwake ni furaha alafu usoni unajifanya unamwonea huruma, uswahilini watu husema afadhali tumekuwa ngoma draw! all in all si vizuri kufurahi kwa matatizo ya mwenzako kinachotakiwa ni kuchukua kama funzo ili yasije kutokea kwako
 
duh hawa jamaa nimetoka nao mbali tangia nipo form 3 hadi sasa hivi mtu mzima na familia yangu, wamenipa burudani and they made my life worthwhile in one way or another,

Management ya clouds imeamua ku'gamble kuwafukuza,

Naona management inataka ku'prove kwamba it can still survive hata majina makubwa yakiondoka

wewe embu sema hawa jamaa umeanza kuwasikia lini, maana nikilinganisha miaka ambayo hizi njemba zilianza kusikika na huo uwiano wa kipindi hiko upo form 3 hahaha sidhani kama ni mtu mzima wa kiwango hiko
 
Back
Top Bottom