Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Huyu mbibi sasa alikataa nn na kumshambulia Faiza, mbna aliyo semaga Faiza ndo yeye leo kayarudia?? Au anatafuta kiki mjiniii? Maana slays, divas na chawas bila kiki hawana maisha town, lol.

Nweiii nasubiri afunguke zaidi, na sie tuongezee neno, tusije ambiwa sie Wanga bureee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


🤣🤣🤣tujikumbushe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…