Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

IMG_3714.jpg

Saitani
 
1.JAMAA ANATOAGA USHAURI FLANI HIVI, WANAWAKE WENGI WANA MPONGEZA.
NA WANAPENDEKEZA WANAUME WOTE TUNGEKUWA KAMA JAMAA.


2.MARA NYINGI KWENYE NDOA, WANAWAKE WAO NI WATAKATIFU NA WANAUME NI WAKOSAJI!

3.NDOA/MAHUSIANO YAKO YENYE KUHUSISHA UMMA/PUBLIC.
MARA ZOTE ZINA ANGUKA KWA SBB MNAISHI KUFUATA MACHO YA WATU.
NA YAKIWAFIKA HUKO MNAKIMBILIA INSTA KUTAFUTA HURUMA TOKA KWA WAJINGA WAJINGA WASIO NA MSAADA KWENU.

4.KUNA WATU MNAJIONAGA NI NINYI TU WENYE MAPU.MBU AU TUNDU NA WENGINE HAWANA.
NI NYINYI TU MNAJUA KUPENDA NA KUPENDANA.
YAKO WAPI SASA!!?
 
Kwa hiyo huyu katoa mil 500 au alimuoa kwa mkopo?Maana dada yetu alisemaga mahali yake ni mil 500.

Huwaga na zitizamaga hizi pisi kali zinazo lingaga kipindi wakiwaga hot.Wanatakaga mambo makubwa hawajui uzuri wa mwanamke hupungua kila umri ukiongezeka na unaweza ukakuta jamaa alikuwa Ben 10 na ndio maana zile pisi kali zilizo sumbua zamani,siku hizi zinaolewa na Mamaarioo kwani washakuwa mishangazi.
 
Huyu mbibi sasa alikataa nn na kumshambulia Faiza, mbna aliyo semaga Faiza ndo yeye leo kayarudia?? Au anatafuta kiki mjiniii? Maana slays, divas na chawas bila kiki hawana maisha town, lol.

Nweiii nasubiri afunguke zaidi, na sie tuongezee neno, tusije ambiwa sie Wanga bureee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani wanataka kuwa kwenye page za watu daily [emoji119]
 
Back
Top Bottom