Wakati mimi nshakua mzee. Labda useme hutaki wazeeUje tu ila nisisingiziwe kama yule mchoma mkaa Wala kudakwa kama jamaa wa Leo.
Wacha weee, Faiza unamfikia.Wakati mimi nshakua mzee. Labda useme hutaki wazee
Swadaktaaaaakama alikua akidundwa, sina comment mpya zaidi ya kubariki tu Alichokichagua.
Mahusiano ya kudundana siyapendi kabisa,ktk mahali mdomo wangu haunaga ushauri zaidi ya muwambia watu waachane ni pale nitapogundua kuna Kudundana, "for any reason"
Tuna haki ya kutofautiana ila sio kupigana.
Faiza wa sugu??Wacha weee, Faiza unamfikia.
Nakuambiajee mambo ni mengii mda mchachee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani diva alikuwa anapigwa?na hajawahi sema?[emoji23][emoji23]diva huyuhuyu?
Hivi anatuonaje??
Yaan hatariii tupuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]diva Kawa km chizi kaona jalala jipya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simjui jaman, woiiiiihHalafu weye ndo usimjue lavalava.Sikamoo.
Ahaaa umeanza siasa eeh.Faiza wa sugu??
[emoji23][emoji23][emoji23] nambie basi, faiza yupi??Ahaaa umeanza siasa eeh.
Faiza Dp world Jf.[emoji23][emoji23][emoji23] nambie basi, faiza yupi??
Yule simjui. Mie nakaribia kuwakuta kina SepengaFaiza Dp world Jf.
Yule simjui. Mie nakaribia kuwakuta kina Sepenga
Mganga ana kitu atafika mbaali!!!Diva kachanganyikiwa
Mganga ana kitu atafika mbaali!!!
Maana Kila mwanamke wakiachana anawehukaa kwenye media
Kuna chumvi anaongeza sasa sijajua lengo lake la kuongeza hizo chumvi ni nini,ki ufupi ana mission yake katika hili mpk kuliweka Public.Yaani diva alikuwa anapigwa?na hajawahi sema?[emoji23][emoji23]diva huyuhuyu?
Hivi anatuonaje??
Na mimi nimegundua maana Diva kaacha yeye ila analalamika. Kaondoka huku roho yaumaMganga ana kitu atafika mbaali!!!
Maana Kila mwanamke wakiachana anawehukaa kwenye media
Hii comment isomwe kwa sauti ili Wenye vichwa vizito kuelewa mambo ya mjini wasikie na kuelewa! [emoji23]Kuna chumvi anaongeza sasa sijajua lengo lake la kuongeza hizo chumvi ni nini,ki ufupi ana mission yake katika hili mpk kuliweka Public.
Anajua akikaa kimya hatotongozwa maana watu watajua n mke wa mtu, hivyo hapa naona kama yupo kwenye promotion (indirect way)
Wanawake wanaotegemea wanaume kuishi mjini utawaona tu na miondoko yao ya maisha,hamnaga stable woman (financialy) anaelia lia mtandaoni kisa mapenzi.
Huyu mshahara hauendani na maisha aloyachagua kuyaishi so n lazima apate boost ya mwanaume mwenye mzigo, Kashampoteza alienae Atampataje mwingine?!?
Team Mauzo na Team Masoko ikaja na solution ni Matangazo ya Online yafanyike kutangaza Tenda.
Wakulungwa wanasema hiii imeeendaaaa Taarifa zimefikaaa, Mission Successful, Subirini Fujo za Diva kwa ataeshinda TENDA.
Masharti ni yale yale Bila Mahari Mil.500 usimsogelee Divaaaaa