Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifata pesa za divaAbdul kashindwa kuishi na diva kwa akili 😂
Kama huamini basi 😂😂View attachment 2685321
Chaiiii chaliii chaiiii
Kama wanaomvua chupi kuanzia,zito na Aly kiba alituambia seuse kupigwa
Nashukuru umetendwa,upunguze kiherehere sasa
Anaenda Kwa rikiboyAmetuaga anaondoka kwa mume ila hajasema anaenda wapi😂😂
Haya ni maneno ya almost wanawake wote pindi wanapokorofishana na waume/wapenzi wao. Yaani wao hujiona ndiyo wafanya mema pekee ndani ya ndoa/mapenzi yao.
Hv mtu anasema sijui umeumwa nikakuuguza kwani si ndio wajibu wake kama mke au mimi ndio sielewi? Anakuja kumnanga instagram huko sana sana tutamcheka tu hamna la maana atapata kwa kutangaza shida zake kwa mtandao. Nataman kumsikia na mumewe akifunguka.Haya ni maneno ya almost wanawake wote pindi wanapokorofishana na waume/wapenzi wao. Yaani wao hujiona ndiyo wafanya mema pekee ndani ya ndoa/mapenzi yao.
Yaani you have nailed it..!! Wao siku zote ni malaika. Na kwa bahati mbaya, wanaume huwa hatusemisemi kama wao. Sasa akishavurugika hivyo, maneno anayowaambia watoto utachoka. Na ndiyo maana watoto wengi sana huchukia baba zao kwa maneno wanayoambiwa na mama zao.Tusikie upande wa pili tuone.
Women always play a victim even in a case she has caused by herself.
They will never accept that they are wrong and sometimes they don't apologize.
Nasubiri kwanza upande wa sheikh Abdul asemaje tupate clear picture .
Yaani utadhani yeye hakuwahi kuumwa akauguzwa, utadhani mwanaume hajawahi fanya lolote kwenye ndoa yao. Yaani yeye utadhani ni malaika wa mbinguni aliyeshuka kuja kuishi na binadamuHv mtu anasema sijui umeumwa nikakuuguza kwani si ndio wajibu wake kama mke au mimi ndio sielewi? Anakuja kumnanga instagram huko sana sana tutamcheka tu hamna la maana atapata kwa kutangaza shida zake kwa mtandao. Nataman kumsikia na mumewe akifunguka.
Ha ha ha weye.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simjui jaman, woiiiiih
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mganga ana kitu atafika mbaali!!!
Maana Kila mwanamke wakiachana anawehukaa kwenye media
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha weye.
Diva ni kama wewe.Uyo Diva Kama mamaj wangu TU[emoji28]
Mganga ana mambo adimuMganga ana kitu atafika mbaali!!!
Maana Kila mwanamke wakiachana anawehukaa kwenye media