Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Alifata pesa za diva

Alifuata pesa na fame
Abdul ni kati ya wale watu wanaojiitaga wanaume na kuishi kwa kuwadadangia wanawake, yaani mvulana flani mwenye uume na ambaye hataki kubeba jukumu la uanaume
 
Haya ni maneno ya almost wanawake wote pindi wanapokorofishana na waume/wapenzi wao. Yaani wao hujiona ndiyo wafanya mema pekee ndani ya ndoa/mapenzi yao.
Hv mtu anasema sijui umeumwa nikakuuguza kwani si ndio wajibu wake kama mke au mimi ndio sielewi? Anakuja kumnanga instagram huko sana sana tutamcheka tu hamna la maana atapata kwa kutangaza shida zake kwa mtandao. Nataman kumsikia na mumewe akifunguka.
 
Tusikie upande wa pili tuone.

Women always play a victim even in a case she has caused by herself.
They will never accept that they are wrong and sometimes they don't apologize.

Nasubiri kwanza upande wa sheikh Abdul asemaje tupate clear picture .
Yaani you have nailed it..!! Wao siku zote ni malaika. Na kwa bahati mbaya, wanaume huwa hatusemisemi kama wao. Sasa akishavurugika hivyo, maneno anayowaambia watoto utachoka. Na ndiyo maana watoto wengi sana huchukia baba zao kwa maneno wanayoambiwa na mama zao.
 
Hv mtu anasema sijui umeumwa nikakuuguza kwani si ndio wajibu wake kama mke au mimi ndio sielewi? Anakuja kumnanga instagram huko sana sana tutamcheka tu hamna la maana atapata kwa kutangaza shida zake kwa mtandao. Nataman kumsikia na mumewe akifunguka.
Yaani utadhani yeye hakuwahi kuumwa akauguzwa, utadhani mwanaume hajawahi fanya lolote kwenye ndoa yao. Yaani yeye utadhani ni malaika wa mbinguni aliyeshuka kuja kuishi na binadamu
 
Mganga ana kitu atafika mbaali!!!
Maana Kila mwanamke wakiachana anawehukaa kwenye media
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana...

Hivi Rey kumbe Mganga wake ndiyo yule Bwana anayeongeleaga Mahusiano hadi kufanya Baby zetu waonekane hakuna kitu wanafanya kwenye Mahusiano?
 
Wasafi imeongea na bwana duly mumewe diva kaonga ajabu akasema ongeeni na mke wangu diva huyuhapa🤣...nilisema huyu ni kiki....
 
Diva alijua yale maneno anayosemaga jamaa anamaanisha?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kayakanyaga yeye arudi kwa Gk aendelee kupigwa free P hamna namna
 
Huwa nafurahi sana nikiona mwanamke kapigwa tukio kama hili

Piga mashine tembea mbele[emoji16][emoji112]
 
Ndoa wanafungia wao ila wakiachana wanataka tujue sababu, mitandao si salama tena
 
Back
Top Bottom