Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Za kununua dildo labda[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila watanzania tumejidharaulisha hadi tumedharaulika, Yani mtu kakimbia dyudu huko anataka achangiwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyewe huwa anasema yeye ni tajiri au ndio kafilisika sababu ya kumuuguza mumewe? Labda kama wametengeza tu hako kahabari ila kama ni kweli basi kachanganyikiwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyewe huwa anasema yeye ni tajiri au ndio kafilisika sababu ya kumuuguza mumewe? Labda kama wametengeza tu hako kahabari ila kama ni kweli basi kachanganyikiwa
🤣🤣 Kama ni kweli atakuwa katudharau sana, maana ingekuwa ukiachika unachangiwa ndoa zingeisha.
 
Shilole,kubwaa kuliko buheti[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]kaua bendi na matatoo..àfu ujue diva wa 1986 though anadanganya sijui 1988 mara sijui vipi..
Bora hata ndauka kidogoo wanalingana lingana na mmewe

Hajachelewa bado atafute mdogo ake mmoja ajimilikishe azae kabla mayai hayajaviza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Akubali tu kuwa kayumba wanaume hawachaguliwi kama midoli madukani[emoji1787]! Unakataa a real man unachagua mlamba lips. Diva tatizo linaanziaga kichwani

GK ndio real man?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom