Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Usimkubali huyo kibaka Monroe, muhuni muhuni tu mdogoangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Njoo kwa extrovert anamiliki yard ya magari

Na gari ya pesa ndogo anazouza ni Nissan Dualis

Sasa jichanganye kwa Monroe ukavutishwe bhangi

Usije kusema sijakwambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ushapanda hizo gari yule Masai na kujisia kote kule mara kinyama sijui porini ajue tayari kakanyagiwa kwa kigezo Cha Ubroo wa Ki-Digitali.
 
Kama ushapanda hizo gari yule Masai na kujisia kote kule mara kinyama sijui porini ajue tayari kakanyagiwa kwa kigezo Cha Ubroo wa Ki-Digitali.

Una uhakika?! Mmezoea kwenu mnakulana ndugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona una Hama ID tu .
Unalog out huku unaingia huku .
Ukweli mchungu Bwana Masai.

Ushakosa vya kuongea sasa?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Id imeingiaje na kwann mnalazimisha kusema hii Id ya Kantri?!! Wewe mbona demu lkn hatusemi? Tupe uthibitisho km wewe sio dem?
 
Back
Top Bottom