Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Simshauri hata kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tulia basi mdogoangu aolewe
Kama ushapanda hizo gari yule Masai na kujisia kote kule mara kinyama sijui porini ajue tayari kakanyagiwa kwa kigezo Cha Ubroo wa Ki-Digitali.Usimkubali huyo kibaka Monroe, muhuni muhuni tu mdogoangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo kwa extrovert anamiliki yard ya magari
Na gari ya pesa ndogo anazouza ni Nissan Dualis
Sasa jichanganye kwa Monroe ukavutishwe bhangi
Usije kusema sijakwambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwanaaume unakuaje mbea aisee? Alafu mm sio mmasaiKama ushapanda hizo gari yule Masai na kujisia kote kule mara kinyama sijui porini ajue tayari kakanyagiwa kwa kigezo Cha Ubroo wa Ki-Digitali.
Naona una Hama ID tu .Mwanaaume unakuaje mbea aisee? Alafu mm sio mmasai
Huyo Bichwa jau sana🤣Huyo dada na Bichwa si wameanza kuitana wifi ,ayaaah wajuba tukaunga doti deal done Extro.
Simshauri hata kidogo
Kama ushapanda hizo gari yule Masai na kujisia kote kule mara kinyama sijui porini ajue tayari kakanyagiwa kwa kigezo Cha Ubroo wa Ki-Digitali.
Mwanaaume unakuaje mbea aisee? Alafu mm sio mmasai
Sikuweziii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiwooooo udugu labda aolewe kwa bata wawili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiwooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatamba tu
Nyuzi zako hizi
Ova
Huyo Bichwa jau sana[emoji1787]
Anatafuta kodi ya kupangaa? Ndo plan waliyokuja na mganga wakee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh tunaishi Kiebrania kima wewe.Una uhakika?! Mmezoea kwenu mnakulana ndugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu ana maumivu makaliAnataka kuvunja penzi letu huyu, kaa nae mbali baby [emoji3059][emoji3059]
Naona una Hama ID tu .
Unalog out huku unaingia huku .
Ukweli mchungu Bwana Masai.
Oya me nasepa mwanetu.Huyo Bichwa jau sana🤣
Eeeh tunaishi Kiebrania kima wewe.
PsychopathKwann? Nipe sababu za kueleweka
Huyu ana maumivu makali