Diva 'divatheebawse' amekimbia kwa mume wake usiku huu na ameamua kuwaaga fans wake. Wakubwa wenzangu huyu tumshauri au tumwache?

Ushakosa vya kuongea sasa?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Id imeingiaje na kwann mnalazimisha kusema hii Id ya Kantri?!! Wewe mbona demu lkn hatusemi? Tupe uthibitisho km wewe sio dem?
Achana nae, humu wagonjwa wengi. Nakuambiaga lakini huamini
 
Ushakosa vya kuongea sasa?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Id imeingiaje na kwann mnalazimisha kusema hii Id ya Kantri?!! Wewe mbona demu lkn hatusemi? Tupe uthibitisho km wewe sio dem?
Waliosoma Graphology wanajua mwandiko wa kike na wakiume
Upo Hadi hapo.
Sasa endelea kuruka ruka na kutumia offensive mode kuniondoa kwenye reli unaponda muda tu.
 
Wewe ni dem hakuna cha mwandiko wala nini? Si tunakujua muda sema tumenyamaza tu

Lete uthibitisho wa kueleweka, huo tumekataa kwanza unatumia fake id
 
Walete hao wenzio wanaonijua Braza Mana naona unakuja kwenye njia Sasa.
 
Mimi natosha kukujua, mwenzangu si wewe

Mwanaume unasema, “upo hapo”

Mwanaume wa wapi huyo anayesema maneno km hayo?!!
Wewe ni demu tyu usituchoshe
Nasemaje usikwepe ulichokianzisha . Walete hao wenzio wanaonijua na Mimi nilete wanaonijua .
Acha kuruka ruka Braza.
Be brief.
 
Nakujua mimi, wewe ni demu usituchoshe!! Hao wanaokujua si nao wana fake id sasa manjuana vipi wewe Paulina hebu jishikilie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lete uthibitisho usiniletee watu ambao nao hawafahmiki

Km huwez kakojoe ulale
 
Ukajikaza ukaona hi ndio great Dodge .
Pole Braza ngoja nikuache naona unaungua tu.
 
Babe?!! Unataka kusaga wanawake wenzako?!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakojoaaaaaa
We ni Kelsea Braza ?
Nilikuambia ushakuwa cornered kilichobaki ni kuja kwa offensive mode.
Pole Braza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…