Lulu Michael sana tu na hata siku alivomuua kanumba MTU WA kwanza kumpigia Kiba akaenda kumsaidia na alivotoka jela mwanzoni kamla mla ndo akaanza Sasa kurudi kwenye fomu yake
Kiba kajua kusambaza upendo [emoji2][emoji2][emoji2]Pole shogaa kitambo sana kiba kamla
Waliweka wazi mahusiano yao au ndio wambea walizinyaka za chini chini?Kelsea hajui etiiii!!
Mbona muda mrefu tena Diva ndio alikuwa anaforce kuwa na kiba
Waliweka wazi mahusiano yao au ndio wambea walizinyaka za chini chini?
Khaa! Waligombana kisa nini au Kiba aliwachanganya?Haikuwa official ni Diva na shobo zake akatupatia taarifa na mpk ugomvi ulitokea
Khaa! Waligombana kisa nini au Kiba aliwachanganya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi utaniambia siku nyingine. Umbea ulinipita sijui nilikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Kelsea mdogoangu leo maswali unaniuliza mengi, tunakoelekea utataka kujua mpk umri wa mama Kiba
Yaani sijui wanakosa wazee wenzaoSi ndio hapo yaani hawa celeb wa bongo kazi kwakweli
Diva hanaga Kaba akitiwa na staa yoyot Hy enzi za ZK alijiexpose sanaaHaikuwa official ni Diva na shobo zake akatupatia taarifa na mpk ugomvi ulitokea
Yaani sijui wanakosa wazee wenzao
[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]àfu kimya kimya wanawake wenyewe ndo wanaongea halafu ujueyKiba kajua kusambaza upendo [emoji2][emoji2][emoji2]
Diva hanaga Kaba akitiwa na staa yoyot Hy enzi za ZK alijiexpose sanaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi utaniambia siku nyingine. Umbea ulinipita sijui nilikua wapi
Mnooo Yaani sema hivi yule simba mwenda pole...YAANI Msiri vile vile...kumbe anawadinyaaaYaani kiba amewala mno, na ana nyota ya kupendwa sana
Vice versa is true[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].....Wazee wenzao nao hawawataki wanataka tutoto
Balaaaa...yaani sijui alikua anadhani ataolewa[emoji2][emoji2][emoji2]Tena kwa huyo Muha wa Kigoma alijua kusumbua yule dada khaaaaaa!!
Kumbe ndugu yangu una kumbukumbu nzuri
Mnooo Yaani sema hivi yule simba mwenda pole...YAANI Msiri vile vile...kumbe anawadinyaaa
Kiba anachinja kimya kimya. Nilitaman sana angemuoa Jojo sijui nini kilitokea. Walitengeneza kapo tamu.[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]àfu kimya kimya wanawake wenyewe ndo wanaongea halafu ujuey
Vice versa is true[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].....
Mimi nilihisi jamaa anaweza oa pale nikaja kushangaa naona picha za harusi na bibi harusi ni mwingine [emoji1787] maisha haya.Tena kwa huyo Muha wa Kigoma alijua kusumbua yule dada khaaaaaa!!
Kumbe ndugu yangu una kumbukumbu nzuri