YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Lulu Michael sana tu na hata siku alivomuua kanumba MTU WA kwanza kumpigia Kiba akaenda kumsaidia na alivotoka jela mwanzoni kamla mla ndo akaanza Sasa kurudi kwenye fomu yake
Yaani kiba amewala mno, na ana nyota ya kupendwa sana