Diva hajitambui

Diva hajitambui

Tumbo lililonizaa ndio bendera ya taifa? Kweli humu kuna watu wamepagawa. Kila mtu na msimamo wake kama mtu hana habari na wimbo au bendera ya taifa hakuna haja ya kumsakama. Kila mtu na maisha yake kwanza sio lazima kujua wimbo wa taifa unamaana gani.
Nimetaja vitu vinne vikubwa ambavyo kwavyo ndio unapata kitu kinaitwa taifa na ndio maana ninasema tumbo lililokuzaa yaani TAIFA (mama Tanzania) hivi kwa nini wimbo huo unapopigwa huwa tunasimama na kutoa heshima? Lakini pia unajua kuwa ni kosa kisheria kudharau,au kudharilisha vitambulisho vya taifa,umeshejiuliza madhara ya kauli ile kuwa anauchukia wimbo wa taifa imeleta madhara kiasi gani kwa vijana waliokuwa wanaangalia tv wakati huo huyu anapaswa kutuomba radhi watanzania wazarendo tulioumia kama yeye sio mzalendo poa angekaa kimya hakuna mtu angemjadili lakini sio kulidhalilisha taifa letu hadharani harafu tuchukulie poa.hapana
 
Wimbo wa taifa ni hoja muhimu ndio utambulisho wa mtz nakukumbusha tu kama haujui
Wapo watu wengi sana ambao hawaujui wimbo huo na maisha yanaenda kama kawa, na nazani si kosa kisheria.
 
You guy can't differentiate! yule alikosea na inawezekana alikuwa haelewi, lakini huyu kasema haujui wimbo wa taifa na vilevile haupendi. sasa sijui wewe ulipokuwa shule unaimba wimbo wa taifa ulitaka uje uwe diwani au waziri! mi naona wewe ni mpumbavu kuliko hata huyo diva a.k.a chausiku
Hii nchi kama ina watu kama wewe itachukua mda sana kuendelea yani wimbo wa taifa kweli elimu hamna siku hizi wazazi wanaibiwa hela tuu yani upo serious na ujinga hebu nipe faida moja ya kuujua huo wimbo wa taifa na we ni mmoja wa wapumbavu wachache mnaorudisha maendeleo ya hii
Yule mulugo yupo sahihi diva kakosea stupid cunt like u should be murdered
 
Nimetaja vitu vinne vikubwa ambavyo kwavyo ndio unapata kitu kinaitwa taifa na ndio maana ninasema tumbo lililokuzaa yaani TAIFA (mama Tanzania) hivi kwa nini wimbo huo unapopigwa huwa tunasimama na kutoa heshima? Lakini pia unajua kuwa ni kosa kisheria kudharau,au kudharilisha vitambulisho vya taifa,umeshejiuliza madhara ya kauli ile kuwa anauchukia wimbo wa taifa imeleta madhara kiasi gani kwa vijana waliokuwa wanaangalia tv wakati huo huyu anapaswa kutuomba radhi watanzania wazarendo tulioumia kama yeye sio mzalendo poa angekaa kimya hakuna mtu angemjadili lakini sio kulidhalilisha taifa letu hadharani harafu tuchukulie poa.hapana

Yaani umeumia kisa Diva haujui wimbo wa taifa? Kweli uzalendo kazi. Mi sina habari ya wimbo wa taifa wala bendera na maisha yangu yanasonga
 
Ana stress yule,watoto waliokulia katika familia ya single mother tena maisha magumu wanakua na shida sana ukubwani

sio wote!!mimi sina na nina apreciate sana juhudi za ''yule mwanamke wa dhahabu'' kunikuza na kunipa kila nililotaka na kunifanya kuwa hivi nilivyo leo!generalization uliofanya inakueleza wewe ni mtu wa namna gani.chagua maneno ya kuongea hata kama ni mtandaoni.itakuongezea heshima na kuficha upuuzi wako!
 
labda anataka kuwe na remix yake style za kwaito ndo ataupenda
 
Hivi kwanini baadhi ya watu wanapenda kufikia hitimisho haraka haraka? Kwanini tumejenga mazoea ya kwamba tunayoyajua sisi, basi lazima na wengine wayajue kama sisi!!?? Kama wewe unajua kuimba wimbo wa Taifa, so what?!! Ni wewe! Tangu lini kwa mtu asiyejua wimbo wa Taifa (Tanzania) kwamba amekuwa hajitambui? Tena amekuwa mkweli kabisa kwamba haujui na haupendi! amesema wazi, nilidhani kwamba kwa kusema hayo ndio anajitambua, maana anajua asichojua na asichopenda. Labda kama kuna mengine, lakini kwa hili la Wimbo wa Taifa, hapana si haki kuhukumu. Mleta mada una mangapi huyajui maishani mwako ambayo wengine wanayajua, je na wewe kutuite hujitambui!! Hapana

Mkuu kama kasoma tz naiunga mkono hoja ya mleta mada👆👆 coz kuanzia std 1 mpk form 6 unaimbwa kila j3..je mwez una j3 ngap? na vp kuhusu mwaka mzma? pLus miaka yote saba ya msingi, mi4 ya o'Levo na miwili ya adv kama alifka' then asiujue kweliiiiiii?

Stop petty.
 
sio wote!!mimi sina na nina apreciate sana juhudi za ''yule mwanamke wa dhahabu'' kunikuza na kunipa kila nililotaka na kunifanya kuwa hivi nilivyo leo!generalization uliofanya inakueleza wewe ni mtu wa namna gani.chagua maneno ya kuongea hata kama ni mtandaoni.itakuongezea heshima na kuficha upuuzi wako!

...hata na wewe ndo walewale tu!..mnatumiaga nguvu nyingi sana muonekane mko exceptional!
....hata wewe nahisi huujui wimbo wa taifa!
..si eti eeh
 
...hata na wewe ndo walewale tu!..mnatumiaga nguvu nyingi sana muonekane mko exceptional!
....hata wewe nahisi huujui wimbo wa taifa!
..si eti eeh

situmiagi nguvu nyingi sana aisee...muulize dadako anajua!
and being exceptional???....Yes,kwenye kundi la nyumbu kama wewe na wenzio.....mulugo huonekana exceptional sembuse mimi!
 
Hivi kwanini baadhi ya watu wanapenda kufikia hitimisho haraka haraka? Kwanini tumejenga mazoea ya kwamba tunayoyajua sisi, basi lazima na wengine wayajue kama sisi!!?? Kama wewe unajua kuimba wimbo wa Taifa, so what?!! Ni wewe! Tangu lini kwa mtu asiyejua wimbo wa Taifa (Tanzania) kwamba amekuwa hajitambui? Tena amekuwa mkweli kabisa kwamba haujui na haupendi! amesema wazi, nilidhani kwamba kwa kusema hayo ndio anajitambua, maana anajua asichojua na asichopenda. Labda kama kuna mengine, lakini kwa hili la Wimbo wa Taifa, hapana si haki kuhukumu. Mleta mada una mangapi huyajui maishani mwako ambayo wengine wanayajua, je na wewe kutuite hujitambui!! Hapana

Hacha kutetea ujinga, mtu umekulia Tanzania, umesoma Tanzania useme hujui wimbo wa taifa lako tena kwenye kipindi cha TV kinachoonekana adi nchi za nje ni aibu, mm naona alifanya vile ili watu wamjadli tu ila ckwel kua hajui nikama mwenzake tu yule alietuambia amejenga nyumba ya million250 kumbe amepanga nyumba c yake
 
yale ni maisha yake kaamua kuishi vile! fanyeni yenu...majungu ya nini au saloon humu!
 
Back
Top Bottom