Diva: Siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejua kuongea kingereza

Sidhani kama kuna mwanaume mwenye Akili timamu na Hekima anayeweza kutamani kumuoa huyo Diva.
Malaya wa kujiuza mitandaoni apendwe na nani?
 
Uyo dada muongo kuna jamaa alikuwa anatoka naye nimshikaji wangu mbona ajui kingereza na hanaishi kinondoni muongo huyo
 
Kama ni London, angekoma. Kila mtu anazungumza hiyo lugha.
 
Hahahahahah lol kuna wanawake wengine wanashida Sana.
 
Kuna tofauti kati ya kuongea kiingereza na kuongea kwa lafudhi ya kiingereza(UK or USA accent). Nawakubali west Africans, wao wanaongea kiingereza chao. Wabongo grammar inasumbua na bado anabana pua.
 
Atakuja kukumbuka kupata mwanaume ambaye hajui kuongea kiingereza umri ukiwa umemtapa mkono na kapata migegedo ya kila aina na mwisho wa siku anabaki kuishi maisha ya wema type
Uingereza kuna vichaa kibao wanaongea kiingereza....
 
Sisi tunaojua kupenga vizuri hii lugha ya malkia tutamgonga sana huyu demu. Hahahaaa waswahili Mungu anawaona mnavyomkasirikia shemeji yenu.
 
Hahaha!..Ngoja nitafute ticha wa inglish kozi asee,Ntawakosa awa madada wazuri wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…