Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Sidhani kama kuna mwanaume mwenye Akili timamu na Hekima anayeweza kutamani kumuoa huyo Diva.
Malaya wa kujiuza mitandaoni apendwe na nani?
Malaya wa kujiuza mitandaoni apendwe na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akir=akiliItakuwa wenye akir kama yake
Dah umeona mbali sanahTafsiri yake anataka wazungu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]NAYE PIA SIWEZI TOKA NAYE KWA KUWA HAJUI KISAMBAA NA KIFARANSA[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3]
Uingereza kuna vichaa kibao wanaongea kiingereza....Atakuja kukumbuka kupata mwanaume ambaye hajui kuongea kiingereza umri ukiwa umemtapa mkono na kapata migegedo ya kila aina na mwisho wa siku anabaki kuishi maisha ya wema type
Hahaha!..Ngoja nitafute ticha wa inglish kozi asee,Ntawakosa awa madada wazuri wazuriWasalaam wana jamvi.
________________________________________
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kudate na mwanaume ambaye hajui kuongea kingereza kwa kuwa yeye katika maisha yake huongea Kiingereza zaidi kuliko Kiswahili.
Akiongea na waandishi wiki hii, Diva amedai wanaume ambao amewahi kutokana nao wanazungumza lugha hiyo ambayo amedai inamvutia sana. "Sipendi mwanaume ambaye hajui Kiingereza, napenda kudate na mwanaume ambaye anajua Kiingereza," alisema Diva. "Yaani imetulia na inapendeza kwa sababu siyo local local, wapo ambao waliwahi kunitokea lakini baada ya kujua hawajui kingereza nikawatosa," Alisema wanaume wake wengi anakutana nao kwa mara ya kwanza kupitia kipindi chake cha Ala za Roho kwa kuwa ndio sehemu ambayo atakutana na watu mbalimbali.
Mtangazaji huyo ambaye pia ni muimbaji wa muziki kwa sasa anatoka kimapenzi na muimbaji 'Heri Muziki'.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gegedo linagegeda kwa kingreza sio?
Ohoooooo!!!!Ebu ngoja kesho nifunge safari toka Ushirombo to Dar, nikamuone Ras Simba.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaaaa atachina basi kusubiri kiingereza