Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiss FM ambako vocabulary ikikukimbia unatupia kiswahiliSasa aende wapi akaongee kizungu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mama alitakiwa aolewe na lemutuzi,maana wanaendana mambo yao
Teh teh..In JPM voice"I wish I could be aijhipii"
Ina maana wazazi wako huo hamuongei au lugha ni kwenye mapenzi tu...Wasalaam wana jamvi.
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kudate na mwanaume ambaye hajui kuongea kingereza kwa kuwa yeye katika maisha yake huongea Kiingereza zaidi kuliko Kiswahili.
Akiongea na waandishi wiki hii, Diva amedai wanaume ambao amewahi kutokana nao wanazungumza lugha hiyo ambayo amedai inamvutia sana.
"Sipendi mwanaume ambaye hajui Kiingereza, napenda kudate na mwanaume ambaye anajua Kiingereza," alisema Diva.
"Yaani imetulia na inapendeza kwa sababu siyo local local, wapo ambao waliwahi kunitokea lakini baada ya kujua hawajui kingereza nikawatosa,"
Alisema wanaume wake wengi anakutana nao kwa mara ya kwanza kupitia kipindi chake cha Ala za Roho kwa kuwa ndio sehemu ambayo atakutana na watu mbalimbali.
Mtangazaji huyo ambaye pia ni muimbaji wa muziki kwa sasa anatoka kimapenzi na muimbaji 'Heri Muziki'.
Woyoo Huu ndio uanaume sasa[emoji28] [emoji28] [emoji28]Siwez toka naye kwanza ataniharibia CV,vilevile hana hela mchovu tuu ajipange
[emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua SHILAWADU wakapeana Maubuyu tu wenyeweSijui walikua wandishi gani hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli umeona mbaliHuyu mama alitakiwa aolewe na lemutuzi,maana wanaendana mambo yao