Diva the Bawse: Ni kweli kabisa sijui kupika, ila Mahari yangu ya 'Kuolewa' ni Shilingi Bilioni 10

Kuna wanaume hasa wasio na pesa wakisikia Bilion 10 wanajawa na hasira za karibu sana.

Umaskini nomaaaaaa
 
Sielewi kwanini unamchukulia serious yule mpuuzi, kashajijua hana atakaemtaka kumuoa ndio maana analeta upuuzi
 
Komenti yako ungeiandika mapema Kuna demu tayari ningeshamla. Alikuwa rafiki wa mshikaji wangu kwa chuo.
Siku moja kaja room katika stori akaniambia hivi lakini akimwelekea rafiki yake John.
" John huyu rafiki yako akinitongoza simkubalii..
Unaskia we Kaka hata ewe ukinitongoza sikubali. Wakacheka nikaulizwa wa kutongozwa ndo Kama wewe?
 
Na cha kushangaza hataolewa masikini na akiamua hata kuzaa atazaa na ivi vibenten vya kina aunty Ezekiel
 
Dhahabu yenyewe haina hiyo thaman
 
Kama kwa hela hiyo ataruhusu mume kufanya threesome na pia kufukua tope ah kama una hela una muwowa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…