Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kuna wanaume hasa wasio na pesa wakisikia Bilion 10 wanajawa na hasira za karibu sana.Mtangazaji maarufu kabisa wa Vipindi vya Mapenzi Diva The Bawse amekiri kuwa kupika hajui ila haolewi bila Mahari ya Bilioni Kumi.
Chanzo: globalpublishers
Binafsi kama GENTAMYCINE nimejiuliza Maswali mengi mno tu na kuanza kuhisi kuwa huenda huyu Mbunye yake ni ya Dhahabu tupu.
Umaskini nomaaaaaa