DIVIDE AND RULE: Mbinu ya kimedani inayotumiwa na single mothers

Unakosea kitu kimoja tu na hii inaonesha bado hujaoa, ndoa sio kufanyiwa kazi na mwanamke, ndoa kwa mwanaume ni kupata utulivu na kuanzisha kizazi chake, tafuteni wazee waulizeni maana ya ndoa, kama mwanamke hakupi utulivu wa akili na mwili hata morali ya kujituma itapungua, ukija kuoa hata ndugu zako watakuja kwako kukutembelea ukiwa bachela hawaji, hiyo ni kazi ya mwanamke, usiwaze kupikiwa na kuoshewa vyombo hizo sio sababu zilizomfanya aolewe.
 
Wanajua vizuri tu ila wanajitoa ufahamu, yaani wamechagua kundi moja dogo ndio watolee mahasira yao ya maisha, angalia wakitoka kwa singo mama wanaingia kwenye ushoga yaani hayo makundi mawili ndio yanawakosesha usingizi wakiangalia wanafuraha kuliko wao,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa tafsiri sahihi, single mother ni yupi?
Ni Mwanamke mwenye mtoto (Mama) anayeishi peke yake bila Mume, so hata kama amefiwa na Mume...ni Mjane ambaye ni single pia....

Tatizo Sisi Wanaume wa Kiafrika tumeshalichukulia vibaya sana neno Single Mother...ila Wazubgu hatuwashangai, anakuambia tu I decided to be single & am very Happy

Leonardo Di Caprio na John Cena ni watu maarufu sana Duniani, waliamua kutokuoa na kutokuwa na watoto mpaka sasa....Ingekuwa ni huku bongo wangeitwa Mashoga au sio Wazima 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…