Uchaguzi 2020 Divine Power ndani ya Lissu si mchezo

Very well narrated.
 
Mungu ni waajabu unaweza kupanga hadi watu wakuteue alafu akakuchukua mwishoni na uchaguzi.
 
Tuone atakaeapishws
Subiri utaona. Hizo utaona utaona zimeshakuwa nyingi toka anapigwa risasi mpaka jana. Kila sehemu Lissu aachanja mbuga tu. Watu wanabaki hawaamini amechomoka vipi.
 
Is Devine a word?
adjective, noun, verb

a frequent misspelling of divine.
Utajua mwenyewe na shule yako ya kata kiingereza cha kukariri kwenye makaratasi.
 
Mara ya mwisho mlimpigia mtu deki barabara. Safari hii sijui mna mpya gani? Loketo wenu mpelekeni kisutu leo
Mpelekeni na huko atawanyosha pia. Si mara ya kwnza Lissu kushtakiwa ameshashinda kesi zaidi ya 1000 ndani ya miaka 20. Untouchable Lawyer.
 
Hayo maneno mmeshasema sana kila stage. Hamchoki????
Jana Dodoma sijui kama Chamwino mtu hajalala na viatu.

Kwa ninavyojua systems Kaijage lazima kachezea makofi jana.

Pumbawaaafu.....[emoji28][emoji28]
Nmegundua wewe ni ama mtoto ama hjui siasa kabisa, ila ushabiki tu umekujaaa
 
Lissu ni mteule shida tu Ni kuwa,wafuasi wake na mashabiki wake tumekosa kujiamini,yaani tunampa Magufuli nguvu asizokuwa nazo,tuna muover rate Magufuli.Magu ni wakuchukulia Kama mkalomije mwingine yeyote tu.sisi tuangalie Sheria inasemaje ili akienda tofauti na sheria inavyotaka tuzae nae just that
 
Sahihi kabisa. Kumbe Magu hamna kitu. Yulee mzee simheshimu tena.
 
Nawe unafikiri kwa taabu. Unamuonea huruma mtu aliyeyaona matatizo yakija na akajidai shujaa? Kwani lazima awe mwanasiasa? Wakulima wangapi wanakosa masoko na kuanza kazi zingine? Ukiona ukulima ni mgumu, anza ufugaji sasa mtu wenu analazimisha kuwa mwanasiasa, akipata matatizo anatulalamikia sisi na watu kama wewe unajidai mother Thereza, huruma nyiiiiingi!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwanzo umeanza na Assalam alaykum. Mwisho ukatubatiza. Hahahaha safi sana. Serekali haina dini. Maendeleo.hayana chama
 
Wanapita bila kupingwa!! Myass!
Kwa hiyo nawe ni mchambuzi wa siasa? Rubbish!
Uchaguzi siyo michezo unayoweza kutegemea spike ya adrenaline. Facts ziko wazi, CHADEMA pekee, CUF pekee, ACT pekee, TLP pekee ni kazi bure tu! Nguvu ya pamoja ilihitajika kuwatikisa CCM. Ninyi munakuja na nguvu ya washangiliaji utadhani ni mchezo wa ngumi. Na kila wakati CHADEMA wanadhani wao wako juu.

This time you are doomed to collapse! Z'bar hampati kitu mulifahamu nguvu ya Maalim lakini hamtaki kuungana na ACT mukiamini muna sifa zaidi. Bara ni kipigo kimeshaanza. Fanyeni biashara tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…